Maisha kwenye Jiji la Dar tabu tupu iwe jua au mvua na kipindi Cha Mvua ndio balaa tupu

Lakn Mara mia ya dar kuliko hili zizi
Screenshot_20230107-112926.jpg
Screenshot_20230107-113434.jpg
20230107_112916.jpg
 
Hey!

Maisha kwenye Jiji lenu Hilo Ni tabu tupu iwe jua au mvua na kipindi Cha Mvua ndio balaa tupu..

Hapo Limji litakuwa linanuka hovyo kabisa na ndio maana watu wa Dar huwa wanakwepa kuwakaribisha ndugu zao wa mikoani kwa kukwepa aibu..

Hata ukijifanya unaishi maeneo ya posh areas lazima ukutane na mabwawa hayo haliyojaa mavi huko barabarani..

Hivi nyie watu wa Dar mnawezaje kuishi maeneo Kama haya? 👇

1673269746963.png

Hili ni tatizo la kitaifa..
Haya Mbeya hiyo
 
Hey!

Maisha kwenye Jiji lenu Hilo Ni tabu tupu iwe jua au mvua na kipindi Cha Mvua ndio balaa tupu..

Hapo Limji litakuwa linanuka hovyo kabisa na ndio maana watu wa Dar huwa wanakwepa kuwakaribisha ndugu zao wa mikoani kwa kukwepa aibu..

Hata ukijifanya unaishi maeneo ya posh areas lazima ukutane na mabwawa hayo haliyojaa mavi huko barabarani..

Hivi nyie watu wa Dar mnawezaje kuishi maeneo Kama haya? 👇

1673269894913.png
 
Hata mikoa mingine haya mambo yapo
 
Back
Top Bottom