Maisha BORA: Songea mfuko wa cement sh 20, 000 per bag!

Halafu hawa hawa ndo waliompa Kikwete kura za kishindo? whats up?
Hivi unadhani kuna bei tofauti ya bidhaa kutegemea ulimchagua nani.........??? Kwani Slaa alipata kura sifuri kule Songea.........??? Waliomchagua Slaa mnawasadidiaje....???? Mngeebda kuwasaidia kulinda kura ningewaelewa............
 
Songea si wanajifanya wanaijua sana CCM hasa huko Namtumbo kwa Vita,hali ya maisha ni mbaya kuliko unavyofikiri!
Kosa ni lao na CCM yao!
Poleni Peramiho,Namtumbo,Mbambabay,litui na Bomba Mbili.
Kwanza nimekumbuka Huo Umeme wa Malawi sijui mpakani bado mna pata au?
 
SUMBAWANGA PETROL LEO SH 5000 Per litre.KASULU jana sh 6000 per litre!
 
Hivi unadhani kuna bei tofauti ya bidhaa kutegemea ulimchagua nani.........??? Kwani Slaa alipata kura sifuri kule Songea.........??? Waliomchagua Slaa mnawasadidiaje....???? Mngeebda kuwasaidia kulinda kura ningewaelewa............

...pesa walizoiba Richmond,radar,ndege mbovu tuliyoambiwa lazima tule nyasi na mikataba ya madini etc zingetosha kabisa kuweka umeme wa kuaminika na barabara ya lami Southern Tanzania yote,hawa mafisadi hakyamungu moto kama upo unawasubiri lazima.
 
JAMANI KWANI KAMA MNAITAKIA MEMA TANZANIA SI MFANYE MFUKO UWE 2300 KULIKO KWA SHARTI MPAKA MPATE URAIS?.......kwani haiwezekani?

Hatupokei kodi, labda umwulize bwana mkubwa pale magogoni anyepokea kodi
 
Kweli nyani haoni kunduleeee................ yaani wewe kununua mahindi milioni mbili unaona sawa kwa vile uwezo unao........????? nA HAO WASIO NA UWEZO HUO NA WALIMCHAGUA Dr. Slaa wafanye nini..........???? SHAME ON YOU, SIMPLY BECAUSE YOU CAN....THEN YOU LET OTHER TO SUFFER....... FAKE MWANAMAPINDUZI...............Unadhani huko Songea hakuna wenye uwezo wa kununua cement kwa bei hiyo........???? Tatizo wenye mawazo kama yako huwa wanatanguliza maslahi binafsi MBELE ........ndiyo maana UNATHUBUTU KUSEMA UWEZO UNAO...........FAKE MWANAMAPINDUZI..................

ubinafsi mliuanzisha nyie kwa kuichagua ccm..hapo na mm ndo nikaamua kuwa mbinafsi na sijilaumu, na kwa taarifa yako usidhani kuna mwanachadema au mwananchi yeyote alochagua chadema anasikitika kwa haya yote, hatusikitiki sio kwakuwa tuna uwezo ila kwa kuwa tunajua kwann haya yanatokea...songea mmejaa ccm watupu so unaniambia niwaonee huruma eti otherwise nitakuwa mbinafsi..?acha pumba wewe..chadema hatukushiriki kumchagua nchimbi, na mkwere wenu akaiba kura kujazia chache alizopewa na watu kama wewe, so we ain't give a damn shit no matter what price the cement will be..unalo na bado..ikifika 2015 wote mmenyooka na chadema itaongoza kwa kura songea kwa sababu mtakuwa mshajirekebisha..
 
Back
Top Bottom