Maisha bila ya watu wanaokutegemea si kitu

Kama kipato ni cha chini kila siku afadhali ya jana. Nikiweka tena mwanamke sawa na mimi apatikane mtoto mmoja huo mziki vipi? Maisha ni kujipanga nikishindwa kabisa kuuoa sio lazima. Ukiona msela mwafrika unashangaa mzungu hushangai. Omba Mungu ili kipato kiruhusu kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu nilikosema NI LAZIMA KUOA,ILA NIMESEMA "MAISHA BILA YA WATU WANAOKUTEGEMEA SI KITU" maana yake ni kwamba "kwa maoni yangu mimi ambayo nataka na ninyi muyatafakari" Iwe umeoa/kuolewa au unaishi na mwenza wako au Mama yako au Baba yako au ulipata bahati ya kupata mtoto/watoto na upo nao UNAWALEA AU WANAKUTEGEMEA NI BORA NA VIZURI ZAIDI KULIKO KUISHI MAISHA YA KUTOKUWA NA WATU WANAOKUTEGEMEA. Tena ni vizuri zaidi ukiwa na umri wa miaka zaidi ya 25 kuanzisha familia kabisa,ili uanze kutengeneza uzao wako na watu wanaokutegemea kwa namna moja au nyingine.Ili kesho na keshokutwa kama utaondoka duniani mali na nguvu ulizotumia kutafuta mali zako ziwe na watu wako wanazimiliki.
 
Nina rafiki yangu ambaye alioa na kubahatika kupata watoto kadhaa na mkewe, bahati mbaya ndoa yao ikaja vunjika, tupo nae group ya whatsap sasa katika kumfariji tukawa tunamwambia atulie maana kwa sasa ameshamudu kutunza wanae so there is no any stress. Jamaa katushangaza anasema kuishi mwenyewe ndio anapata stress zaidi hata kama asingekuwa na watoto. so mleta mada uzi wako una ukweli ndani yake japo kuna waumini wazuri humu wasiokubaliana na maisha ya ndoa.
Huwa wanazuga tu ila ukweli uwe mwanaume au mwanamke swala LA familia ni muhimu sana,kuna umri ukifika kama huna familia lazima utakosa furaha tu.
 
Ndio, maisha bila ya kuwa na watu wanaokutegemea si kitu na hakuna sababu ya kujisumbua kwa kutafuta sana.

Ngoja nifafanue, wewe ni mwanaume/mwanamke una kazi/biashara/shughuli ya kuingiza kipato na una miaka zaidi ya 30 viungo vyako viko kamili kiafya na kiakili, kwanini usioe/kuolewa au kuishi na mwenza wako?

Wakuu maisha ya sasa ni mafupi mno na kufa bila kuwa na warithi ni kupoteza kumbukumbu yako.

Wakuu nyinyi mnalionaje hilo?
Io kweli kabsaa ila wengi wawo wa kimbia majukumu ,,,ila nipo tayar ku hustle for the sake of my family then i kow God is always with me ,,na ndio unakua courage flan yakutafta maaana ukijua huna mtu nyuma yako anae kutegemea nibalaa ,,,ndo mana Islam imetusii tuowe kwa ambao wana uwezo wa ku udumia familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Io kweli kabsaa ila wengi wawo wa kimbia majukumu ,,,ila nipo tayar ku hustle for the sake of my family then i kow God is always with me ,,na ndio unakua courage flan yakutafta maaana ukijua huna mtu nyuma yako anae kutegemea nibalaa ,,,ndo mana Islam imetusii tuowe kwa ambao wana uwezo wa ku udumia familia

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, dini zote zinashauri hivo. na hata heshima na busara za mtu zinapimwa kutokana na majukumu ya nyumbani kwake,leo hii wewe uko mzima kiafya una miaka zaidi ya 25 unashughuli ya kukuingizia kipato lakini unafanya ufuska ukiangalia gharama unazozitumia kwenye ufuska ni zaidi hata ungekuwa unaihudumia familia yako si kutokujitambua huku.
 
Back
Top Bottom