Maimartha ni orijino au mchina huyo??

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
173
Wakuu wana JF,

Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au maana toto ametoka ile mbaya na bonge ya jimama! mliokuwa siku ya Kili Music Awards pale ndani mtakuwa mashahidi.

Mwenye picha current atuletee hapa jamvini! au anatumia ...... hahaha!

images
 
Wakuu wana JF,

Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au maana toto ametoka ile mbaya na bonge ya jimama! mliokuwa siku ya Kili Music Awards pale ndani mtakuwa mashahidi
Mwenye picha current atuletee hapa jamvini! au anatumia ...... hahaha!

images

Mambo ya mkorooogz
 
Atafanya yooote afanikiwe kwa nguvu za shetani, ameshindwa kutembea kikawaida na kubaki kuwa bryson! Mungu hadhihakiwi bwana. Glory be to God.
 
Wakuu wana JF,

Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au maana toto ametoka ile mbaya na bonge ya jimama! mliokuwa siku ya Kili Music Awards pale ndani mtakuwa mashahidi.

Mwenye picha current atuletee hapa jamvini! au anatumia ...... hahaha!

images
Dogo matokeo ya mtihani si yametoka ? huyu maimatha 'anacheza premier league' humuwezi tafuta wa saizi yako utakapoingia chuo,cheers.
 
unene yawezekana vyuku kwa sana ila hiyo colour mmmmm,
namkumbuka wkt ameanza kutangaza eatv na sasa loooool
labda ni vidonge bwana:plane:
 
Mkorogo,nywele bandia,viatu visigino virefuuuu,lipstiki,sijui eye shadow etc etc inanikumbusha kale ka wimbo ka kazamani akili ya bibi ni sawasawa mtoto mdogo.
 
mbona wengi wenu hamjamuelewa mtoa mada??...anaulizia ongezeko la ukubwa wa mwili wa maimatha na hasa sehemu za makalio kama katumia dawa za kichina?...mie namfahamu mai..anatoa ndogo kwa msela wangu m1 ...toka basha ake pdidy afariki msela wangu akakamata daiwaka na shorry hapindui msela akaanza kukamua ndogo na duu akaona aji-boost kuongeza VAT.... hayo ndo nayoyafahamu kwa kiasi cha ufukunyuku wangu.
 
mbona wengi wenu hamjamuelewa mtoa mada??...anaulizia ongezeko la ukubwa wa mwili wa maimatha na hasa sehemu za makalio kama katumia dawa za kichina?...mie namfahamu mai..anatoa ndogo kwa msela wangu m1 ...toka basha ake pdidy afariki msela wangu akakamata daiwaka na shorry hapindui msela akaanza kukamua ndogo na duu akaona aji-boost kuongeza VAT.... hayo ndo nayoyafahamu kwa kiasi cha ufukunyuku wangu.[/Q

mmmmmmhh
too much info
umetupa story nyingine..:A S-confused1:
we ngoja wale wa "source" waje wakuulize
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom