MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 3,859
- 5,278
COMEDY SHOW
😆😆😆😆COMEDY SHOW
Nyerere alipokua akipiga makofi pela UN, Muamar Ghadaf alikua anakasirika na kuumia sana moyoni 🐒Jionee mwenyewe halafu Tafakari, Jambo la kusikitisha ni kwamba kwenye Maigizo hayo yumo hata Mbunge wa Jimbo letu la Kyela .
Aibu sana !
View attachment 2918431
Kina jimwambafy eti enginia,wakati ni fundi mchundo tuuEng. Msanii kweli huyo mama.
Ally Kamwe na huyu nani ana Afya?Maafya yake sio njema naishauri ccm isimrudishe bungeni huyu Eng.
Samia ni kiboko,amemwaga miradi Kila Kona Kila sekta Kila Mkoa yaani kimya kimya namba zinaongeaKAZI KILA UPANDE, WALE KUSWAGWA TU KILA SIMU KAMA NGOMBE
Hakuna mtu ana shida na haters ,nyie endeleeni kuandamana ila kazi ndio zinaongeaNi muda wa kaole Sanaa.kucheza na script 🤣🤣🤣🤣
Kazimia huku bado kaishika Maiki 😅😅😅
Umeongea neno zuli......ulaghai aka utapeli......hv hao viongozi ni lini watajua kwamba wtz wana akili?Anajizalilisha tu , inamaana alipata taarifa za kuletwa fedha hizo hapohapo Kwenye huo mkutano?
Kama alikuwa Na taarifa hizo mapema huo ni usanii Na ulaghai wa wanasiasa uchwara wa chama cha majambazi
Umeongea neno zuli......ulaghai aka utapeli......hv hao viongozi ni lini watajua kwamba wtz wana akili?