Maigizo ktk utawala bora tz

akonini

Member
May 22, 2012
29
6
Dhana ya utawala bora ilikusudia kuwakomboa wananchi ktk umaskini kwa wao kushiriki kikamilifu. ili kutimiza azma hii elimu bora ilihitajika. siku moja nilipata kusikiliza hotuba ya rais F. Declack wa SA AKISEMA hata siku moja kenge hawezi kuwa mamba, kelele mnazo sikia za watu weusi haimaanishi kuwa wao ni sawa na sisi, hii nchi ni yetu hatutaruhusu kenge kutawala. na namna pekee ni kuwanyima elimu bora maana itakuwa rahisi kuwagawa, kuwanyima fursa na hivyo wataendelea kuwa maskini na wahitaji. NDUGU ZANGU NCHI YETU TOKEA IPATE UHURU INA UMRI WA MTU MZIMA LAKINI BADO TU WAMASKINI WA KUTUPWA KIASI KWAMBA IKIFIKA ASUBUHI UNASEMA AFADHALI YA JANA ILHALI WATEULE WACHACHE WANAUTAJIRI WAKUTUPWA. hII ni kwasababu watala wetu hawana tofauti na makaburu maanahawanahuruma na wananchi tumenyimwa fursa za kupata elimu bora. ni onavyo hizi ni hatua za maksudi watawala wetu. ona jinsi tulivyo maskini na kuwaona viongozi tuliowachagua kama miugu natunawabembeleza watusaidie kupata huduma. mfano wawazi ni SHULE ZA KATA NA MFUMO WA ELIMU, HIVI SASA 60% YA WANAFUNZI KTK SHULE HIZO HAWAJUI KUSOMA. JE TUTAJIKOMBOAJE NAHALI HII
 
Back
Top Bottom