Maige katudanganya

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
nilifuatilia kauli ya Maige kumsimamisha mkurugenzi wanyama pori lakini kinachonishangaza ni tarehe ya kusimamisha alisema nanukuu 'leo tarehe 18 mwenzi 11' mwisho wa kunukuu wabunge hawajaliona hili? Au slip of the tongue? Waliofuatilia nisaidieni
 
kwani ulikuwa hujui jamaa ni muongo mbaya siyo yeye na serikali yake wote waongo..
 
nilifuatilia kauli ya Maige kumsimamisha mkurugenzi wanyama pori lakini kinachonishangaza ni tarehe ya kusimamisha alisema nanukuu 'leo tarehe 18 mwenzi 11' mwisho wa kunukuu wabunge hawajaliona hili? Au slip of the tongue? Waliofuatilia nisaidieni
...Hata mimi niliistukia hiyo jana na baada ya kutaja hiyo tarehe aka-pause kidogo kama vile kusikiliziia kama kuna mbunge atamsahihisha. akaona wabunge wanagonga meza. Kwa taratibu za bunge hiyo imeingia kwenye hansard za bunge sio? So Jamaa bado yuko kazini hadi tarehe 18/11/2011.
 
nilifuatilia kauli ya Maige kumsimamisha mkurugenzi wanyama pori lakini kinachonishangaza ni tarehe ya kusimamisha alisema nanukuu 'leo tarehe 18 mwenzi 11' mwisho wa kunukuu wabunge hawajaliona hili? Au slip of the tongue? Waliofuatilia nisaidieni

Stupid these people in power. Kwani huyo Maige alikuwa haoni madudu hayo mpaka bunge limbane. Stupid of him. Wote ni majizi ajabu hata yeye alipata mgao wa wanyama hao. Stupid of him again. Wanatufanya wajinga. Ilibidi amchukulie hatua sio kungoja bunge liwake moto
 
Back
Top Bottom