Mahusiano

Anaclet Haule

New Member
Sep 28, 2012
2
0
UTAMTAMBUAJE MKEO AU MUMEO KAMA ANAKUPENDA AU ANA UPENDO WA DHATI? Haya tutoe vigezo basi! Kupitia JF Mtandao ulio bora.

Hii kipima joto ilifaa iwe multiple choice.
Ila ukiona roho inakudunda kila ukimuwaza ama kumuona ujue ndo huyohuyo.
 
he he he, basi mie inadundaje jamani.

Nitakutafuta kwa ushauri wa kiganga.

mfuate huyo anaeidundisha. Kama mie ndo nasababisha roho yako idunde, andika na urithi kabisa. Manake hapa ni maumivu, torture na mwisho nakurudisha kwa muumba wako akakufinyange upya urudi pet dog.
 
heh! Ndo nilipanga nikufuate maana umezidi kunidundisha roho.

Hadi urithi unataka?

mfuate huyo anaeidundisha. Kama mie ndo nasababisha roho yako idunde, andika na urithi kabisa. Manake hapa ni maumivu, torture na mwisho nakurudisha kwa muumba wako akakufinyange upya urudi pet dog.
 
mmh hii mada inanihusu jamani..........embu mwageni points mnijuze mwenzenu mana hii sekta nahisi niko sifuri kila siku.
 
UTAMTAMBUAJE MKEO AU MUMEO KAMA ANAKUPENDA AU ANA UPENDO WA DHATI? Haya tutoe vigezo basi! Kupitia JF Mtandao ulio bora.

lets say, mkigombana unakosa raha kabisa kabisa..teh anakuwahi 'im sory nyingi'..anajal hisia zako..hmm apasasa mtihani,ukikutana na gumegume janja liloshndkana,linaweza kukutega ukadata,kumbe jizi!
Ila enewei mule mule..anakujali,mda wote anapenda uwe na raha,yan hata ukiwa na hasira ya kumeza wembe atakufanya ucheke uvunje mbav,hasira yote kwisha.
Anapenda familia na hata rafik zako, anakushauri vizuri.
Anajua nin unataka,hata mkiwa mbali. Hakudanganyi(hawa wapo mbinguni tuu..ya humu dunian0.5%heheh).
Yani utamjua tu, ukiwa nae anaheshimu uwepo wako.(hayupo yupo bze na mengne,eg simu)
muwazi..mnataniana..yani unajua eh mahusiano yenye afya daima.
Ukiwa na tatizo wa kwanza kukushauri na hata kukusaidia eg kifedha au kimawazo.
Siyo yule, akiwa na ny*ge basi ndo utaitwa majina yoote hadi ya urithi! Mweh
 
lSiyo yule, akiwa na ny*ge basi ndo utaitwa majina yoote hadi ya urithi! Mweh

Huyu ndio wa ukweli hayo mengine ukiyoeleza ni mbwembwe tu..na ndo maana likaitwa tendo la ndoa!
Hayo mengine wala sio matendo ya ndoa!!
 
Huyu ndio wa ukweli hayo mengine ukiyoeleza ni mbwembwe tu..na ndo maana likaitwa tendo la ndoa!
Hayo mengine wala sio matendo ya ndoa!!

lool mkuu umemaliza! Aya bana. Ila akishatosheka ata awe wa halali..asiweke uso wa mbuzi,tabasam kila akiwa na hamu. Hayo mengine si ya ndoa ila mleta uzi kasema ya kujua either anakupenda au. .so tendo la ndoa Si Tu pekee lakufanya ujue anakupenda,tho nikibwagizo tuu!
 
Ngono ina play big part kwenye ndoa aisee
Ndo maana hapa utaona kila ukicha mara mume wangu hivi..mke wangu vile..
Kwa hiyo kama unampa hadi anakutamkia majina ya babu zake basi jua anakupenda huyo...
 
Ngono ina play big part kwenye ndoa aisee
Ndo maana hapa utaona kila ukicha mara mume wangu hivi..mke wangu vile..
Kwa hiyo kama unampa hadi anakutamkia majina ya babu zake basi jua anakupenda huyo...
my pacha ah tutake radhi bana
mi sifanyi ngono i see!akhu!
 
Back
Top Bottom