NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
hata aicc ni majengo yaohata udsm ni majengo yao
hata aicc ni majengo yaohata udsm ni majengo yao
Kwani ni mataifa yote duniani yana ubalozi hapa TZ? Ulishawahi kujiuliza watanzania wanakwenda Israeli wanapata wapi viza? Je TZ ina balozi katika mataifa mangapi duniani?. Balozi zinagharama zake, hivyo nchi kabla ya kufungua balozi lazima ziangalie manufaa yake kwanza.
Palestine ilikuwa taifa long b4 wazungu hawajaitambua taifa la Israel ambalo halikuwepo, limefanya kutengenezwa tu.
Kwani sisi tunawafwata waweke ubalozi wao huku....wao ndo wawe na interest kuja huku.....na ni sisi tunawaruhusu au kuwakatalia na sio kuwa palestina wapo ndo maana wao hawawezi kuja,kwani wanaogopa palestina hivyo,mbona washirika wao wakubwa marekani wapo...?
They mind their bussiness we mind ours.
Sababu mojawapo ni Taifa la Palestina kuwai na kufungua ofisi ya ubarozi hapa.?
Je yaweza kuwa sababu ya msingi au.?
Pole sana umepewa majibu laini sana ila ni kwamba kipindi fulani wakati wa utawala wa nyerere israel ilishambulia wapalestina sana na kuua watu wengi, sasa kwa vile nyerere alikua hapendi ukandamizani kama unaofanywa na marekani huko libya, alivunja uhusiano na israel kama inshara ya kupinga vitendo vyao dhidi ya wapalestina! Kabla ya hapo uhusiano ulikua safi sana, wao ndio waliojenga majengo ya maana ya zamani hapa dar es salaam kama kitega uchumi, jengo la ushirika, chuo kikuu cha dar es salaam na hospitali ya bugando mwanza!, sina uhakika na muhimbili ila nadhani ndio wenyewe! na ubalozi wao ulikua pale ubalozi wa marekani uliolipuliwa na magaidi ulipo! Shughuli zao za kijasusi kwa tanzania walitumia ubalozi wa marekani!
Waumini wa biblia wanasema tanzania ina laana kwani imeandikwa atakaemlaani israel amelaaniwa! Karibu sana
hata aicc ni majengo yao
Huyu lazima atakuwa ndio walewale wavaa vipedo na kandambili na kufuga midevu. (mujahidina)Palestine ilikuwa taifa long b4 wazungu hawajaitambua taifa la Israel ambalo halikuwepo, limefanya kutengenezwa tu.
pole sana umepewa majibu laini sana ila ni kwamba kipindi fulani wakati wa utawala wa nyerere israel ilishambulia wapalestina sana na kuua watu wengi, sasa kwa vile nyerere alikua hapendi ukandamizani kama unaofanywa na marekani huko libya, alivunja uhusiano na israel kama inshara ya kupinga vitendo vyao dhidi ya wapalestina! Kabla ya hapo uhusiano ulikua safi sana, wao ndio waliojenga majengo ya maana ya zamani hapa dar es salaam kama kitega uchumi, jengo la ushirika, chuo kikuu cha dar es salaam na hospitali ya bugando mwanza!, sina uhakika na muhimbili ila nadhani ndio wenyewe! Na ubalozi wao ulikua pale ubalozi wa marekani uliolipuliwa na magaidi ulipo! Shughuli zao za kijasusi kwa tanzania walitumia ubalozi wa marekani!
Waumini wa biblia wanasema tanzania ina laana kwani imeandikwa atakaemlaani israel amelaaniwa! Karibu sana
Mkuu tulivunja uhusiano na Israel baada ya vita ya siku Sita kwa sababu Israel ilichukua Sinai peninsula na kuikalia kimabavu. Kumbuka kipindi icho Misri ilikuwa inatoa misaada mingi kwenye ukombozi wa nchi za afrika, katika kuonyesha umoja na mshikamano serikali ikavunja diplomatic relations kulaani icho kitendo.Pole sana umepewa majibu laini sana ila ni kwamba kipindi fulani wakati wa utawala wa nyerere israel ilishambulia wapalestina sana na kuua watu wengi, sasa kwa vile nyerere alikua hapendi ukandamizani kama unaofanywa na marekani huko libya, alivunja uhusiano na israel kama inshara ya kupinga vitendo vyao dhidi ya wapalestina! Kabla ya hapo uhusiano ulikua safi
sana, wao ndio waliojenga majengo ya maana ya zamani
hapa dar es salaam kama kitega uchumi, jengo la ushirika, chuo kikuu cha dar es salaam na hospitali ya bugando
mwanza!, sina uhakika na muhimbili ila nadhani ndio
wenyewe! na ubalozi wao ulikua pale ubalozi wa marekani
uliolipuliwa na magaidi ulipo! Shughuli zao za kijasusi kwa
tanzania walitumia ubalozi wa marekani!
Waumini wa biblia wanasema tanzania ina laana kwani imeandikwa atakaemlaani israel amelaaniwa! Karibu sana
Serikali ya Nyerere ilivunja uhusiano na Israel mwaka 1967 kwa sababu Israel iliikalia Sinai Peninsula baada ya Six Day War.
Nasikia kabla ya hapo Israel walikuwa wametusaidia kwenye ujenzi wa majengo kadhaa likiwemo jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa to name the few.
je nini sababu za msingi.?
Wakati Tz inavunja uhusiano na Israel, majengo ya hospital za Bugando Mza na KCMC Moshi yalikuwa yanajengwa, jinsi walivyoyaacha yamekaa hivyo bila kumaliziwa kwa miaka zaidi ya 30...!!!