Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

Waarabu na wahindi mnawahusudu sana.

Angalia Dr Mwinyi (Ulinzi) akipata tende toka uarab
uni!
 
Actually nikwasababu ya Nyerere alikua anachukia sana ubaguzi akaifananisha issue ya palestina na israel na ile aliyokuwa anaipigania sana ya apartheid in south africa, kumbe the issue of israel is absolutely different from that of south africa...tofauti kabisa...sasa, palestina wanao ubalozi hapa lakini hawana taifa,...hata hivyo, tuko mbioni kuifanya israel iwe na ubalozi hapa kwasababu kila mwaka kuna maelfu ya watz wanajiunga kupelekwa ma pilgrims israel...angalia anachofanya mwingira, angalia anachofanya gamanywa na wengine wote, hapo bongo kuna makampuni kibao yanayopeleka watu israel, you just have to pay mil.2 tu, hotel, air travel kwenda na kurudi na kila kitu....so watu wengi sana wanaenda..

hata hivyo, tunatumia ubalozi mkubwa ulioko kenya, ndo maana wakenya wanabarikiwa kuliko tz inayolaaniwa kila siku, hapa bongo kuna ubalozi mdogo sana ambao nafikiri balozi wake mkuu anaishi nairobi, hapa anakuja kwa kubip tu kwenye ofisi za hapa...so tujipe moyo...

watu wengi huwa wanafikiri kila mtu anaisapoti palestina, kumbe karibia nusu ya watz wote ukiwauliza wanaisapoti israel. Ukiibariki Israel Mungu atakubariki, ukiilaani Mungu atakulaani.
 
Kwa wale wanaopenda kusoma, hii text kutoka wikipedia inaeleza maana ya jina Palestine ambayo sana haihusiani na inavyotumika leo ku-describe wapalestina ambao ni baadhi tu ya watu ambao wamekuwa wakikalia nchi ile down the history. Kwa wanaojua historia ya modern Israel taifa lililozaliwa 1948 ni kwamba waingereza walimaliza mandate ya kutawala Palestina chini ya udhamini wa Umoja wa Mataifa mwaka 1947.

Kipindi hicho nchi ile ilikaliwa na Jews (wayahudi) ambao baadhi yao walikuwepo hapo from historical times (70AD wakati warumi waliposambaratisha taifa la wayahudi na kuwapeleka uhamishoni), wale walioanza kurudi toka uhamishoni tangu mwanzo wa karne ya 20; pamoja na waarabu (ambao ni waislam, wakristu na bedouins - wafugaji wahamaji kama masai). Ilipitishwa kura ya maoni na Jews na Arabs hawakukubali kubaki kama taifa moja hivyo waingereza wakaigawa ile nchi, upande wa magharibi kwa wayahudi na mashariki pamoja na Gaza kwa waarabu. Waisraeli walipo declare kuanzisha taifa lao ilipiganwa vita ya kwanza kati ya Israeli na Arabs 1948.

Baadhi ya waarabu waliondoka Israeli kwenda uhamishoni ambao ndio tunawaita wakimbizi wa wapalestina waliopo nchi kama Jordan, Lebanon, Egypt etc. kipindi kile idadi yao ilikuwa kama 0.6m lakini sasa ni zaidi ya 4 miillion. Wale waliobaki ndani ya Israel sasa ndio wanaitwa Israel arabs kama 2m ambao ni wakristu na waislam pamoja. Hawa wana haki zote ndani ya Israel isipokuwa hawarusiwi kutumikia jeshini. Vita ya pili kati ya Israel na Arabs ni ile ya 1967 ambapo Jews waliuchukua mji wa Jerusalem ambao hapo awali ulikuwa upande wa waarabu, pamoja na ukanda wa Gaza, ukanda wa magharibu wa Jordan, Sinai (Misri) na Golan heights (Syria).

Sinai na Golan zilitekwa for security purposes na Sinai pekee ndiyo imerudishwa baada ya mkataba wa amani na Misri. Golan bado ni very strategic kwa usalama wa Israel hivyo imekuwa vigumu kurudishwa kwa Syria. West Bank, waisrael wasema ni sehemu ya Judea ya zamani hivyo kuiachia kuna utata na ndiyo maana wanaendelea kujenga makazi ya wayahudi. Actually katika ramani hawatenganishi West Bank wala kuigawa Jerusalem. Ukiwauliza matatizo ya uprising ya wapalestina wanasema ni economic problems kwa sababu eneo hilo wanaloishi wapalestina lilitelekezwa kiuchumi wakienda kufanya kazi ndani ya Israel na kurudi kwao hivo pakabaki maskini kabisa. Sasa hivi kuna uwekezaji eneo hilo ambayo wanaamini itapunguza uprising ukiachilia mbali masuala ya kiimani.

The name "Palestine" is the cognate of an ancient word meaning "Philistines" or "Land of the Philistines".[7][8]
The earliest known mention is thought to be in Ancient Egyptian texts of the temple at Medinet Habu which record a people called the P-r-s-t (conventionally Peleset) among the Sea Peoples who invaded Egypt in Ramesses III's reign.[9] The Hebrew name Peleshet (פלשת Pəléshseth)- usually translated as Philistia in English, is used in the Bible to denote the southern coastal region that was inhabited by the Philistines to the west of the ancient Kingdom of Judah.[10]

The Assyrian emperor Sargon II called the same region Palashtu or Pilistu in his Annals.[7][8][11] In the 5th century BC, Herodotus wrote in Ancient Greek of a 'district of Syria, called Palaistinê".[12][13][14] William Beloe notes that "It should be remembered that Syria is always regarded by Herodotus as synonymous with Assyria. What the Greeks called Palestine the Arabs call Falastin, which is the Philistines of Scripture."[15] This is confirmed by George Rawlinson in the third book (Thalia) of The Histories where Palaestinian Syrians are part of the fifth tax district spanning the territory from Phoenicia to the borders of Egypt, but excludes the kingdom of Arabs who were exempt from tax for providing the Assyrian army with water on its march to Egypt. These people had a large city called Cadytis, identified as Jerusalem,[16] and what Herodotus means is Syria (Assyria) of Palestine.

According to Moshe Sharon, Palaestina was commonly used to refer to the coastal region and shortly thereafter, the whole of the area inland to the west of the Jordan River.[7] The latter extension occurred when the Roman authorities, following the suppression of the Bar Kokhba Revolt in the 2nd century AD, renamed "Provincia Judea" (Iudaea Province; originally derived from the name "Judah") to "Syria Palaestina" (Syria Palaestina), in order to complete the dissociation with Judaea.[17][18] Robinson, writing in 1865 when travel by Europeans to the Ottoman Empire became common asserts that, "Palestine, or Palestina, now the most common name for the Holy Land, occurs three times in the English version of the Old Testament; and is there put for the Hebrew name פלשת, elsewhere rendered Philistia. As thus used, it refers strictly and only to the country of the Philistines, in the southwest corner of the land. So, too, in the Greek form, Παλαςτίνη), it is used by Josephus. But both Josephus and Philo apply the name to the whole land of the Hebrews ; and Greek and Roman writers employed it in the like extent."[19]

During the Byzantine period, the entire region (Syria Palestine, Samaria, and the Galilee) was named Palaestina, subdivided into provinces Palaestina I and II.[20] The Byzantines also renamed an area of land including the Negev, Sinai, and the west coast of the Arabian Peninsula as Palaestina Salutaris, sometimes called Palaestina III.[20]

The Arabic word for Palestine is فلسطين (commonly transcribed in English as Filistin, Filastin, or Falastin).[21] Moshe Sharon writes that when the Arabs took over Greater Syria in the 7th century, place names that were in use by the Byzantine administration before them, generally continued to be used. Hence, he traces the emergence of the Arabic form Filastin to this adoption, with Arabic inflection, of Roman and Hebrew (Semitic) names.[7] Jacob Lassner and Selwyn Ilan Troen offer a different view, writing that Jund Filastin, the full name for the administrative province under the rule of the Arab caliphates, was traced by Muslim geographers back to the Philistines of the Bible.[22]

The use of the name "Palestine" in English became more common after the European renaissance.[23] The name was not used in Ottoman times (1517–1917). Most of Christian Europe referred to the area as the Holy Land. It was officially revived by the British after the fall of the Ottoman Empire and applied to the territory that was placed under The Palestine Mandate.

Some other terms that have been used to refer to all or part of this land include Canaan, Greater Israel, Greater Syria, the Holy Land, Iudaea Province, Judea,[24] Israel, "Israel HaShlema", Kingdom of Israel, Kingdom of Jerusalem, Land of Israel (Eretz Yisrael or Ha'aretz), Zion, Retenu (Ancient Egyptian), Southern Syria, and Syria Palestina.
 
hata UDSM ni majengo yao

Hawa watu ni kiboko. Hata uwanja wa ndege wa Entebbe Uganda walijenga wao kama si baadhi yao (tena ni watu wa intelijensia) ndo maana ilikuwa rahisi sana kwenda kuwakomboa wale mateka kwa Kiisraeli waliotekwa enzi za Nduli Idi Amini dada.
 
Nafikiri ni bora kuvunja uhusiano na nchi zingine zote na siyo ISRAEL, ungejiuliza kwanini Nchi kama Japan, America, Germany,Frannce,England na nchi nyingi zilizoendelea hazitaki kuvunja uhusiano na Israel na haziwezi utagundua Tanzania tuna tatizo ambalo ni Mungu mwenyewe anayeweza kutuondolea. Nchi zote zenye uhusiano na Israel zina baraka za Mungu, ona Kenya karibia kila kitu inategemea Tz lakini wako juu kutushinda mara mia. Mungualisema atakayeibariki Israel atabarikiwa na atakayeilaani atalaaniwa, tusijiulize hivi vituko vyote Tz vinatokana na nini. Mambo yote Israel jamani

kweli kuvunja uhusiano na israel ni moja ya laana nakumbuka kipindi flani huyu balozi ambae anaishi kenya aliwahi kualikwa na mtumishi wa kanisa moja arusha na alisema the same story,,hata hivyo kwa wale wanaoamini wamekuwa wakifanya toba juu ya nchi,,,
 
actually nikwasababu ya nyerere, yeye alikuwa ajent wa shetani, na alijifanya anachukia sana ubaguzi akaifananisha issue ya palestina na israel na ile aliyokuwa anaipigania sana ya apartheid in south africa, kumbe the issue of israel is absolutely different from that of south africa...tofauti kabisa...sasa, palestina wanao ubalozi hapa lakini hawana taifa,...hata hivyo, tuko mbioni kuifanya israel iwe na ubalozi hapa kwasababu kila mwaka kuna maelfu ya watz wanajiunga kupelekwa ma pilgrims israel...angalia anachofanya mwingira, angalia anachofanya gamanywa na wengine wote, hapo bongo kuna makampuni kibao yanayopeleka watu israel, you just have to pay mil.2 tu, hotel, air travel kwenda na kurudi na kila kitu....so watu wengi sana wanaenda..

hata hivyo, tunatumia ubalozi mkubwa ulioko kenya, ndo maana wakenya wanabarikiwa kuliko tz inayolaaniwa kila siku, hapa bongo kuna ubalozi mdogo sana ambao nafikiri balozi wake mkuu anaishi nairobi, hapa anakuja kwa kubip tu kwenye ofisi za hapa...so tujipe moyo...

watu wengi huwa wanafikiri kila mtu anaisapoti palestina, kumbe karibia nusu ya watz wote ukiwauliza wanaisapoti israel...somashehe na watu wengine wapenda ubwabwa wakikaa kwenye vikao vyao wasijefikiri kuwa wanapoongea kuilaani israel kila mtu anailaani. watu wengine tuko tayari hata kwenda israel kupigana upande wa israel...kwasababu tunajua, ukiibariki israel Mungu atakubariki, ukiilaani Mungu atakulaani..ndivyo walivyolaaniwa wafuasi wote wa mwamedi, uwezo wao kufikiri mdogo, kupigana kila siku, matatizo lukuki hata kama wanayo mfuta, siku zote wako nyuma kwa kila kitu....kulalamika tu....ndio laana yao.

Asante kutujuza, next year nalipa niende Israel.
 
Ndugu uliyeuliza swali, mimi nakushauri uchukue jibu la vumbi ndiyo jibu lisilo na itikadi. Kuna mtu anasema majengo ya UDSM ni mali ya waizrael namshauri aende pale maana mimi nimeshiriki kutafuta historia ya majengo ya vyuo vikuu hapa nchini kila jengo pale UDSM limeandikwa aliyejenga na aliyegharamia, labda aniambie waizrael walikua vibarua lakini hakuna contractor wa Kiizrael aliyefanya kazi pale.
 
. Kuna mtu anasema majengo ya UDSM ni mali ya waizrael namshauri aende pale maana mimi nimeshiriki kutafuta historia ya majengo ya vyuo vikuu hapa nchini kila jengo pale UDSM limeandikwa aliyejenga na aliyegharamia, labda aniambie waizrael walikua vibarua lakini hakuna contractor wa Kiizrael aliyefanya kazi pale.
Sawa tujuze ni akina nani waliojenga UDSM?
 
Ndugu uliyeuliza swali, mimi nakushauri uchukue jibu la vumbi ndiyo jibu lisilo na itikadi. Kuna mtu anasema majengo ya UDSM ni mali ya waizrael namshauri aende pale maana mimi nimeshiriki kutafuta historia ya majengo ya vyuo vikuu hapa nchini kila jengo pale UDSM limeandikwa aliyejenga na aliyegharamia, labda aniambie waizrael walikua vibarua lakini hakuna contractor wa Kiizrael aliyefanya kazi pale.
Sasa si utuambie nani aliyeyajenga? Au ndio unataka tuanze kukubembeleza?
 
On second thoughts,why do we have the palestinian embassy in tanzania? je kuna nchi nyingine yenye ubalozi wa palestina au ni sisi tu?
 
Sasa si utuambie nani aliyeyajenga? Au ndio unataka tuanze kukubembeleza?

Hivi wewe umejibu au umeacha swali? Swali halijibiwi kwa swali ndg. Ina maana wewe hukuweza kusoma? Au yameandikwa Kiyahudi!

Kwa taarifa yako hakuna mahali Waisrael huenda kama vibarua labda nyumbani kwako kama unao, Waisrael ndio watu wabunifu ktk mataifa mengi yaliyoendelea, jiulize six day war ingewezekanaje kataifa kadogo vile kuyashinda mataifa ya kiarabu? Na kwanini hadi sasa ni nchi inayoongoza kwa uzalishaji matunda na iko janwani? Je pamoja na vita ya kila siku ikichokozwa ulishawahi kusikia ikiomba msaada wa Kijeshi,kibinadamu au wa kiufundi?

Jaribu kuwa mkweli maana kama wewe ni MTz jua tuko wote kwenye laana ndiyo maana hata mawazo tunayotoa wengine yamekaa kilaanalaana! Siyo makosa yetu ukweli ni Israel tu! Labda kama unataka kuendelea kuishi ndani ya laana.
 
Maelezo yako ni mazuri sana nani ya kitafiti... Na kwa kuongezea tu miaka michache baada ya kujenga Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam wanafunzi waliopata kusoma pale miaka hiyo walikua wakiletewa kuku kutoka Israel.. hii inaonesha ni kwa kiasi gani watanzania walikua na uhusiano mzuri na Israel.. Ila ndugu yangu hili la kuwaalani wa israel umekosea. kwanza kiimani za asili sisi wa Afrika na wa Tanganyika tunaimani za asili tofauti kabisa....so, wanachokiamini wao na sisi si lazima tukiamini. Pili, sina uhakika pale muaji anapokemewa basi mkemeaji apate laana na muaji apate neema hata hiyo bibla wanayo iamini haisemi hivyo. kusema hivyo kuna wapa kichwa wa-Israel kuwaonea wa palestina na mataifa mengine kama wanavyotaka kwa sababu eti wao ni wateule wa Mungu kitu kisicho kweli kwa watu wa Imani nyingine
 
Ndugu uliyeuliza swali, mimi nakushauri uchukue jibu la vumbi ndiyo jibu lisilo na itikadi. Kuna mtu anasema majengo ya UDSM ni mali ya waizrael namshauri aende pale maana mimi nimeshiriki kutafuta historia ya majengo ya vyuo vikuu hapa nchini kila jengo pale UDSM limeandikwa aliyejenga na aliyegharamia, labda aniambie waizrael walikua vibarua lakini hakuna contractor wa Kiizrael aliyefanya kazi pale.
pole sana, kuna siku utakuja kugundua kuwa hata nguo na kila kitu unachotumia kimetengenezwa na waisrael, what you need to understand is that, there are more Jews outside Israel than those living in Israel. America peke yake inaongozwa na waisrael, google unayoifurahia wale ni wayahudi, youtube wale watoto ni wa kiyahudi, madaktari wakubwa, wasomi na wana filosofia, mainjinia walio wakubwa duniani, wengi wao ni wa israel, hata hawa mabalozi wengi tu wa kimarekani, hao wanaofanya kazi kwenye mashirika ya kimarekani, asilimia kubwa ni wayahudi, lakini hawajachukua tu uraia wa israel...but they are working for israel...

hauwezi kuishi bila kuwa chini ya myahudi katika dunia ya leo...obama hata akisema awe neutral namna gani, mafogo wenye viwanda na mapesa, tena wenye network kubwa ya kuiongoza marekani na dunia nzima ni wayahudi, lakini hawaishi israel pamoja na kwamba kila mwaka huwa wanajitolea kwenda kufanya kazi ya jeshi israel as volunteer, every year...so hata mkiandamana, mkifanya chochote kile wakati watoto wenu wanafanya kazi TACAIDS, watoto wenu wanategemea misaada toka magaribi, nyie wenyewe njaa zinawauma..hamna lolote mnasaidiwa tu na mataifa ya magaribi, kikwete wenu anapoenda kukinga kapu kule New york, anakinga na kujibembelewa kwa wayahudi...hadi leo hii haujafumbuka macho tu?...kama hauamini, Tanzania ianze kutangaza leo hii kuwa wao ni adui wa israel, halafu uone tutakapoishia...unakuwa kama Iran, Libya na mataifa mengine....Mubarack alipoheshimu mkataba aliosaini Nasri yule aliyeuawa, wa kutopigana na israel, si uliona kila mwaka anapata msaada wa karibia tilioni tatu za kitanzania kwenye bajeti yake? na sasaivi magaidi walivyochukua nchi kwa sababu ya democracia, kuna mpango msaada huo utasitishwa....anayeagiza wapewe rushwa hiyo ya msaada ni nani? huna lolote hata ukijifanya huipendi israel....hata utafiti wako umeshindwa kugundua hili? hapo ndo huwa nashindwa kuuelewa utafiti wa Kitanzania....hahahaha. poleni.
 
Wewe ndio umeandika nini sasa?

Israel inapata msaada wa $ 3 bil kwa mwaka kwa ajili ya masuala ya kijeshi kutoka US. Vile vile juzi waziri wao wa Ulinzi alisema wataomba $ 20 bil zaidi kwa ajili ya Ulinzi Source

Nilikuwa namuuliza swali huyu mheshimiwa aliyesema ametafuta historia ya mjenzi wa chuo kikuu....
Ndugu uliyeuliza swali, mimi nakushauri uchukue jibu la vumbi ndiyo jibu lisilo na itikadi. Kuna mtu anasema majengo ya UDSM ni mali ya waizrael namshauri aende pale maana mimi nimeshiriki kutafuta historia ya majengo ya vyuo vikuu hapa nchini kila jengo pale UDSM limeandikwa aliyejenga na aliyegharamia, labda aniambie waizrael walikua vibarua lakini hakuna contractor wa Kiizrael aliyefanya kazi pale.
 
Maelezo yako ni mazuri sana nani ya kitafiti... Na kwa kuongezea tu miaka michache baada ya kujenga Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam wanafunzi waliopata kusoma pale miaka hiyo walikua wakiletewa kuku kutoka Israel.. hii inaonesha ni kwa kiasi gani watanzania walikua na uhusiano mzuri na Israel.. Ila ndugu yangu hili la kuwaalani wa israel umekosea. kwanza kiimani za asili sisi wa Afrika na wa Tanganyika tunaimani za asili tofauti kabisa....so, wanachokiamini wao na sisi si lazima tukiamini. Pili, sina uhakika pale muaji anapokemewa basi mkemeaji apate laana na muaji apate neema hata hiyo bibla wanayo iamini haisemi hivyo. kusema hivyo kuna wapa kichwa wa-Israel kuwaonea wa palestina na mataifa mengine kama wanavyotaka kwa sababu eti wao ni wateule wa Mungu kitu kisicho kweli kwa watu wa Imani nyingine

Nakushukuru kwa kutushauri vizuri, siyo haki kwa mtu au binadamu yeyote kutumia mauaji kwa ajili ya Mungu au sababu yeyote ile, ila nauliza kuwa wao Waisrael watapataje haki yao wakati mataifa mengi hayana asili ya Mungu ya kutoa haki pasipo kujua hasara gani utakayoipata?
 
pole sana, kuna siku utakuja kugundua kuwa hata nguo na kila kitu unachotumia kimetengenezwa na waisrael, what you need to understand is that, there are more Jews outside Israel than those living in Israel. America peke yake inaongozwa na waisrael, google unayoifurahia wale ni wayahudi, youtube wale watoto ni wa kiyahudi, madaktari wakubwa, wasomi na wana filosofia, mainjinia walio wakubwa duniani, wengi wao ni wa israel, hata hawa mabalozi wengi tu wa kimarekani, hao wanaofanya kazi kwenye mashirika ya kimarekani, asilimia kubwa ni wayahudi, lakini hawajachukua tu uraia wa israel...but they are working for israel...

hauwezi kuishi bila kuwa chini ya myahudi katika dunia ya leo...obama hata akisema awe neutral namna gani, mafogo wenye viwanda na mapesa, tena wenye network kubwa ya kuiongoza marekani na dunia nzima ni wayahudi, lakini hawaishi israel pamoja na kwamba kila mwaka huwa wanajitolea kwenda kufanya kazi ya jeshi israel as volunteer, every year...so hata mkiandamana, mkifanya chochote kile wakati watoto wenu wanafanya kazi TACAIDS, watoto wenu wanategemea misaada toka magaribi, nyie wenyewe njaa zinawauma..hamna lolote mnasaidiwa tu na mataifa ya magaribi, kikwete wenu anapoenda kukinga kapu kule New york, anakinga na kujibembelewa kwa wayahudi...hadi leo hii haujafumbuka macho tu?...kama hauamini, Tanzania ianze kutangaza leo hii kuwa wao ni adui wa israel, halafu uone tutakapoishia...unakuwa kama Iran, Libya na mataifa mengine....Mubarack alipoheshimu mkataba aliosaini Nasri yule aliyeuawa, wa kutopigana na israel, si uliona kila mwaka anapata msaada wa karibia tilioni tatu za kitanzania kwenye bajeti yake? na sasaivi magaidi walivyochukua nchi kwa sababu ya democracia, kuna mpango msaada huo utasitishwa....anayeagiza wapewe rushwa hiyo ya msaada ni nani? huna lolote hata ukijifanya huipendi israel....hata utafiti wako umeshindwa kugundua hili? hapo ndo huwa nashindwa kuuelewa utafiti wa Kitanzania....hahahaha. poleni.

Mute unanifanya niupende tena UTanzania wangu baada ya kuuchukia kwa muda mrefu, mchango wako unanisababisha nione kuwa Tz bado tuna watu japo wachache wenye uelewa wa mambo, Mungu akujalie uendelee kuwajuza watu ukweli.
 
pole sana, kuna siku utakuja kugundua kuwa hata nguo na kila kitu unachotumia kimetengenezwa na waisrael, what you need to understand is that, there are more Jews outside Israel than those living in Israel. America peke yake inaongozwa na waisrael, google unayoifurahia wale ni wayahudi, youtube wale watoto ni wa kiyahudi, madaktari wakubwa, wasomi na wana filosofia, mainjinia walio wakubwa duniani, wengi wao ni wa israel, hata hawa mabalozi wengi tu wa kimarekani, hao wanaofanya kazi kwenye mashirika ya kimarekani, asilimia kubwa ni wayahudi, lakini hawajachukua tu uraia wa israel...but they are working for israel...

hauwezi kuishi bila kuwa chini ya myahudi katika dunia ya leo...obama hata akisema awe neutral namna gani, mafogo wenye viwanda na mapesa, tena wenye network kubwa ya kuiongoza marekani na dunia nzima ni wayahudi, lakini hawaishi israel pamoja na kwamba kila mwaka huwa wanajitolea kwenda kufanya kazi ya jeshi israel as volunteer, every year...so hata mkiandamana, mkifanya chochote kile wakati watoto wenu wanafanya kazi TACAIDS, watoto wenu wanategemea misaada toka magaribi, nyie wenyewe njaa zinawauma..hamna lolote mnasaidiwa tu na mataifa ya magaribi, kikwete wenu anapoenda kukinga kapu kule New york, anakinga na kujibembelewa kwa wayahudi...hadi leo hii haujafumbuka macho tu?...kama hauamini, Tanzania ianze kutangaza leo hii kuwa wao ni adui wa israel, halafu uone tutakapoishia...unakuwa kama Iran, Libya na mataifa mengine....Mubarack alipoheshimu mkataba aliosaini Nasri yule aliyeuawa, wa kutopigana na israel, si uliona kila mwaka anapata msaada wa karibia tilioni tatu za kitanzania kwenye bajeti yake? na sasaivi magaidi walivyochukua nchi kwa sababu ya democracia, kuna mpango msaada huo utasitishwa....anayeagiza wapewe rushwa hiyo ya msaada ni nani? huna lolote hata ukijifanya huipendi israel....hata utafiti wako umeshindwa kugundua hili? hapo ndo huwa nashindwa kuuelewa utafiti wa Kitanzania....hahahaha. poleni.

ubarikiwe sana mpendwa,,,asomae na afahamu
 
Inashangaza bado kuona WTZ wachache bado wana fikra za Utumwa. Kushabikia kwamba Israel ni taifa lililobarikiwa ni kuonesha ni jinsi gani akili za Kitumwa bado zipo akilini mwa watu.

Afrika, TZ Wake UP.
 
Kwasababu ya Uislam ulio jaa ndani ya Serikali. Rais ni Muislam, Makamu wake Muislam, Zenji yooootee ni ya Waislam,

It will never work in Bongo, kwasababu hiyo ya UDINI wa Serikali INAYO DAI HAINA udini.
Mkuu kweli unauchukia Uislamu,ina maana mpaka Nyerere naye alikuwa Muislamu?
 
Back
Top Bottom