Mahusiano na mtu ambaye hajipendi ni mzigo

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,272
Hey thereee

Hivi ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu anakuwaza wewe tu mda wote? Kila mda anataka muongee tu? Kila mda anataka ajue upo wap, na nani, kwa nini, mnafanya nini, mpaka saa ngapi?

Mtu ambaye anaamini wewe ni mali yake na yeye ni mali yako, anaamini ile uwe na furaha unamuhitaji na vivyo hivyo kwake? Wanaboa

Unahitaji mtu ambaye yeye kama yeye binafsi anaweza vibe alone, hategemei external source of happiness hii ndo maturity.

Ndo naelewa kwanini babu zetu walioa na bado wakawa na chumba cha pekee yao, aisee watu wanaitaji space.

Kwenye mahusiano kuna wewe, nyinyi na yeye,, wewe kama wewe inabidi uwe na maisha yako, nyinyi kama nyinyi muwe na maisha yenu alafu yeye kama yeye awe na maisha yake sometimes.

Kuwaganda ganda watu masaa 24 ndio maana wanawachokeni, wewe kama wewe uwe na furaha na hobbies zako mbali na mtu wako

Kwa mfano mwanaume penda mpira, penda gym, penda mziki, penda kwenda pub na wana, yaani una furaha wewe kama wewe na maisha yako hapo akija mtoto wa watu hamtosumbuana

Huu upuuzi wa kukabiziana binadam wenzenu furaha ya maisha yenu ndio mwisho wa siku mnapigana chuma

I don't like a girl who's always there, texting every damn second kama kids, as if we ndo focus yangu pekee ya maisha yangu, i got a lot of issues to settle out there

Kabla Hujampenda Mtoto Wa Mama Mkwe

Jipende Kwanza Mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom