Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,059
- 6,716
nyieeee ukidate na hawa wenzetu wa rangi tofauti ambaye ana jazi zake rasmi tu anafanya mahali utalia machozi wako very strict na muda , kama nikupiga hupiga once per day akikuaga ni byee baby i will call you tomorrow if i wont be too busy, akiwa ametoka kazin kachoka sana hakupigii aisee, yaan style yetu yakujaliana kwa sms kila saa sahau, zikipita siku mbili hajakutafuta roho inakupasuka unaumia akikutafuta yuko serious i was so busy working baby i miss you a lot ewwwhhh jaman hawa watu mahaba niue utayapata kwa dakik chache tu jaman akiwepo
sisi waafrica kila kitu chetu ni tofauti aisee nlipataga shida sana mmmmh
sisi waafrica kila kitu chetu ni tofauti aisee nlipataga shida sana mmmmh