mahusiano na mapenzi

Ahaa ahaa mbona hiyo sio kashfa bana
basi inawezekana ameambiwa bora vibrator kuliko yeye yaani "wakati movie linakolea, tanesco yake inakata umeme" ,

NB: hizi ni assumption tu hauruhusiwi kuniquote na kumshambulia mleta sredi kwa kutumia post zangu.
 
Unakuta mtu ana vibrator karibia 10 zenye vipimo tofauti lol
 
Kila kitu kama nini?? Umeandika kwa ufupi sana kiasi kwamba hueleweki vzr! Au ndo hasira za kudharauliwa na kusalitiwa hadharani. Pole ila andka tena kwa uwazi.
 
basi inawezekana ameambiwa bora vibrator kuliko yeye yaani "wakati movie linakolea, tanesco yake inakata umeme" ,

NB: hizi ni assumption tu hauruhusiwi kuniquote na kumshambulia mleta sredi kwa kutumia post zangu.

Fellow tablet....hiyo LIKE nimekugongea ili ujue nakutafuta, na siyo eti kwa kuwa posti yako ni yuziful saaaaana!

Inakuwaje hawa wagonjwa unaniachia na mvua kubwa namna hii?
 
Mhhhhhh! Eti kila kitu, ulimuuliza kuwa ameridhika ukajua hahitaji chochote tena?????????? au ni kwamba ulikuwa unawaza tu kwmaba watoa kila kitu.. Usitudanganye bhana wewe, we utawezaje kutoa kila kitu under this planet of scarcity?????????? We mwenyewe huna kila kitu, ungekuwa na kila kitu basi mada hii usingeileta hapa lakini kwa kuwa hujakamilika, imekubidi utafute msaada.:disapointed: by your post friend.
Haukuwa mkweli kabisaaaaaa.
 
Huwezi mpa binadamu mwingine kila kitu,ila kosa naloliona ni huyo dada kukusaliti hadharani na kukukashifu hajatumia busara,wewe ni mzuri jiamini kama hakukuona wa maana kuna ambaye atakuthamini na kukupenda.

unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:
 
Fellow tablet....hiyo LIKE nimekugongea ili ujue nakutafuta, na siyo eti kwa kuwa posti yako ni yuziful saaaaana!

Inakuwaje hawa wagonjwa unaniachia na mvua kubwa namna hii?
hehehe fellow tablet hawa wagonjwa wengine wanapenda dozi bana, kuna mmoja hapa daily ananitafuta anataka dozi japo keshapona yaani anafeki ugonjwa kabisaaa. Wewe cover tu maana mimi zile mida za shift nakuwa na ma press conference siku hizi. Ipo haja ya kumshauri invizibo abadilishe ID aitwe "muarobaini" ili asaidie tiba kwa wagonjwa feki na sugu.
 
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:

mjomba jona sikia... pole ...sana!! hakuna kitu kinachouma na kinaweza kumliza mwanaume kama "kibuti" hadharani tena sio kwa maneno bali kwa njia ya usaliti ... achana naye songa mbele... take your time.... life without commitment is possible .. ila mjomba jona kuwa careful....... magonjwa mengi.......

sikia hii nyimbo ikuliwaze

Last edited by a moderator:
hehehe fellow tablet hawa wagonjwa wengine wanapenda dozi bana, kuna mmoja hapa daily ananitafuta anataka dozi japo keshapona yaani anafeki ugonjwa kabisaaa. Wewe cover tu maana mimi zile mida za shift nakuwa na ma press conference siku hizi. Ipo haja ya kumshauri invizibo abadilishe ID aitwe "muarobaini" ili asaidie tiba kwa wagonjwa feki na sugu.

Hehehehe...invizibo mwache aendelee kuwa invizibo. Akiwa mwarubaini, na maujiko aliyokuwa nayo wagonjwa wote watakimbilia kwake afu mimi na wewe tutafia martenity ward na pharmacy respectively!
 
POLE SANA, uliyefanyiwa hivi.
Hata kama unayetegemea akupe kila kitu lakin kwa bahati mbaya au kwa makusudi,
ameshindwa kukutimizia yale utakayo wewe,
BADO hautakiwi kumwacha aliyekuwa mpenzi wako kwa kashfa au kejeli.
kwanini umkashifu mwingine eti kisa ajakupa hitaji la moyo wako,

Kama unaona ameshindwa kukutimizia utakayo au umemchoka tu unataka kumwacha ,
basi wewe mwambie tu kiutaratibu ,kwa usalama kabisa pasipo kuleta vurugu yoyote,
Yawezekana leo mmeshindwana kimapenzi au hamjaelewana kimapenzi ,
lakin mkajakuelewana hapo baadaye kwenye mambo mengine,
huyo unayemkashifu leo na kumwacha kwa kejeli,
kesho,kesho kutwa au hata uzeeni akaja kukufaa kwa hitaji lingine kabisa la kimaisha.

Binadamu tumekuwa wepesi sana wa kukosoa wengine ili hali sisi wenyewe hatujichunguzi vizuri,
huyo unayesema eti ameshindwa kukupa kile utakacho,
je umejiuliza kwa nini yeye ameshindwa kukupa hicho utakacho?,
isiwe wewe mwenyewe labda ndiyo chanzo cha yeye kushindwa kukupa wewe upendacho kupewa??,
tusipende sana kutimiziwa ndoto zetu na watu wengine bila kuweka juhudi zetu,
bali tutimize ndoto au mahitaji yetu kwa michango,juhudi,kujituma sisi wenyewe kwanza,
na ikishindikana bado hatupaswi kuwapa wenzi wetu lawama na kuachana nao kwa kashfa.
KABLA HAUJAMFANYIA MTU JAMBO FIKIRI KWANZA JE WEWE BINAFSI UNGEPENDA KUFANYIWA HIVYO??

USTAARABU,HEKIMA NABUSARA HAVIUZWI ILI LABDA USEMA SINA PESA YA KUNUNULIA,
BALI NI JAMBO LA KUAMUA TU KUWA NAHITAJI KUWA MTU MWENYE HEKIMA NA BUSARA KATIKA MAAMUZI YANGU YOTE.

HAIJALISHI TUMEUMIZWA,TUMETESWA,TUMETENGWA,TUMELIZWA,TUMESHINDWA KUPATA MAHITAJI YA MIOYO,
BADO NASISITIZA HATUPASWI KUACHANA KWA UGOMVI,MATUSI NA KASHFA.

Mjombajona.
You have to understand that kilakitu is subjective. In your mind you maybe thinking unampa everything wakati kwake yeye anaona unavyompa havitoshi and/or is nothing, zilch. So, kama "mwanaume rijali " just read between the lines and move on. It is clear that she does not appreciate nor feel for you what you are hoping that she does!

True!!!!
 
Yesu ndiye aliyetupa/ anayetupa kila kitu bana.!!!!!! .uhai,afya, ufufuko na ..................
 
unamaanisha nini unaposema kila kitu? hili ndio tatizo la wanaume wengi, wanafikiri fedha, magari, majumba na anasa za dunia ndio mapenzi!!! kumbuka hivyo unavyompa sivyo alivyovifuata kwako!! kama ni fedha hata yy anaweza kuitafuta, kama kitanda hata kwao kipo!!!

eeeh hembu fikiri kuna kitu kimoja anakosa kutoka kwako, ama anakipata lakini hakimtosholezi that's why ameamua kuchapa lapa ili kukuonyesha kuwa alichokua anategemea kwako hakukipata na amekipata kwa mtu mwingine!!!

haya swali kwenu wanaume marijali, mngefanyanini??

nasubiri kuona.

Hatuendi hivyo mama. Hata kama mistake ya 1/100 inaweza inaweza kuvunja relation, lakini ndo umdharau mwingine hadharani? Sasa thamani ya utu ipo wapi? Kuchapa lapa haikatazwi ipo, lakini ndo ugeuze mwenzio bango la Morroco? Na mbaya zaidi anasema mabaya, mbona mazuri alomfanyia hasemi.
My take; mkuu, chukulia kama huyo hakutakiwa kuwa mwanadamu, maana mwanadamu aliyekamilika ana staha na sense of reasoning.
Pasaka njema.
 
POLE SANA, uliyefanyiwa hivi.
Hata kama unayetegemea akupe kila kitu lakin kwa bahati mbaya au kwa makusudi,
ameshindwa kukutimizia yale utakayo wewe,
BADO hautakiwi kumwacha aliyekuwa mpenzi wako kwa kashfa au kejeli.
kwanini umkashifu mwingine eti kisa ajakupa hitaji la moyo wako,

Kama unaona ameshindwa kukutimizia utakayo au umemchoka tu unataka kumwacha ,
basi wewe mwambie tu kiutaratibu ,kwa usalama kabisa pasipo kuleta vurugu yoyote,
Yawezekana leo mmeshindwana kimapenzi au hamjaelewana kimapenzi ,
lakin mkajakuelewana hapo baadaye kwenye mambo mengine,
huyo unayemkashifu leo na kumwacha kwa kejeli,
kesho,kesho kutwa au hata uzeeni akaja kukufaa kwa hitaji lingine kabisa la kimaisha.

Binadamu tumekuwa wepesi sana wa kukosoa wengine ili hali sisi wenyewe hatujichunguzi vizuri,
huyo unayesema eti ameshindwa kukupa kile utakacho,
je umejiuliza kwa nini yeye ameshindwa kukupa hicho utakacho?,
isiwe wewe mwenyewe labda ndiyo chanzo cha yeye kushindwa kukupa wewe upendacho kupewa??,
tusipende sana kutimiziwa ndoto zetu na watu wengine bila kuweka juhudi zetu,
bali tutimize ndoto au mahitaji yetu kwa michango,juhudi,kujituma sisi wenyewe kwanza,
na ikishindikana bado hatupaswi kuwapa wenzi wetu lawama na kuachana nao kwa kashfa.
KABLA HAUJAMFANYIA MTU JAMBO FIKIRI KWANZA JE WEWE BINAFSI UNGEPENDA KUFANYIWA HIVYO??

USTAARABU,HEKIMA NABUSARA HAVIUZWI ILI LABDA USEMA SINA PESA YA KUNUNULIA,
BALI NI JAMBO LA KUAMUA TU KUWA NAHITAJI KUWA MTU MWENYE HEKIMA NA BUSARA KATIKA MAAMUZI YANGU YOTE.

HAIJALISHI TUMEUMIZWA,TUMETESWA,TUMETENGWA,TUMELIZWA,TUMESHINDWA KUPATA MAHITAJI YA MIOYO,
BADO NASISITIZA HATUPASWI KUACHANA KWA UGOMVI,MATUSI NA KASHFA.

Asante,nakubaliana na wewe!!
 
unapompa mwnamke kilakitu halafu anakusaliti hadharani bilakificho pamoja na kashfa kibao kama mwanaume rijali utafanyaje:teeth:

Kwanza faham kuwa wanawake huwa hawahitaji kila kitu kama unavyothani,wanawake hawahitaji chochote ila wanapoamua kutulia hutulia hatakama mnaishi shimoni
 
Aaah yaani anakudhalilisha kiivyo,usimbebee bango mzee utampandisha chat mvalie miwani ya mbao.
 
Back
Top Bottom