Mahusiano kulingana na aina ya kazi!

Ndo maana nimeleta kwenu nilichokisikia, hata mimi niliposikia hvyo nikajiuliza hv kumbe hii kada ndo inaongoza kwa uzinzi. Lakini sikupata jibu ndo maana nimekuja kwenu nipate uhakika.

Sio kada hii tu, wafanyakazi wa mahotelini ukisikia mambo yao kwa zamu za usiku huwezi tamani kuoa kada hiyo.
 
Mie nafikiria tungeachana na kada za kazi alafu tukajadili mazingira kama mazingira ya kazi katika kumpelekea mwanaume ama mke atoke nje ya ndoa...kwa vyovyote vile kama ilivyo kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kupata ukimwi kama hautumii kinga pia nadhani kuna uwezekano mkubwa wa kimazingira kwa watu wanaokuwa mbali na wenzi wao usiku kujiingiza ama kushawishika zaidi katika kufanya mapenzi nyinyi mnaita ngono mda wa usiku kuliko mchana,sasa kazi za mazingira ya namna hii mbali ya tabia ya mtu mazingira yanachangia katika lolote litakalotokea ama linalotokea...haya maeneo na watu hawa ni 'at risk in nature'

mjadala uendelee.
 
bado kidogo mtasema na askari nao wanafanya wao kwa wao na wafungwa mahabu wakiwa vituon au magerezan.
 
Mie nafikiria tungeachana na kada za kazi alafu tukajadili mazingira kama mazingira ya kazi katika kumpelekea mwanaume ama mke atoke nje ya ndoa...kwa vyovyote vile kama ilivyo kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kupata ukimwi kama hautumii kinga pia nadhani kuna uwezekano mkubwa wa kimazingira kwa watu wanaokuwa mbali na wenzi wao usiku kujiingiza ama kushawishika zaidi katika kufanya mapenzi nyinyi mnaita ngono mda wa usiku kuliko mchana,sasa kazi za mazingira ya namna hii mbali ya tabia ya mtu mazingira yanachangia katika lolote litakalotokea ama linalotokea...haya maeneo na watu hawa ni 'at risk in nature'

mjadala uendelee.

Sasa naendelea kupata picha ni kwa nn kada hii (manesi) kwa wanawake huchelewa kuolewa!
 
kuna watu ni marais lakini bado ni wazinzi wazuri tu,
naamini kila kitu kinategemea tabia ya mtu mwenyewe-si kazi yake
 
Utafiti uliofanywa na asasi moja inayojihusisha na mambo ya ukimwi uligundua kuwa katika viwanda vingi hapa nchini vinavyofanyakazi mpaka za shift za usiku wafanyakazi wao wengi wameambukizwa ukimwi kutokana na kufanya mapenzi wakati wa shift zao za usiku. Na hii ni kwasababu kama kuna mgonjwa mmoja basi anausambaza kwa wenzake kwa kasi kwani huwa wanzungukana humo humo yaani leo fulani yuko na huyu kesho yuko na mwingine. Pia rafiki yangu mmoja aliyewahi kufanyakazi Swissport pale JIA alisema kuwa pale hakuna cha mke wa mtu wala mume wa mtu uzinzi umetawala isipokuwa kwa yule mwenye hofu ya MUNGU tu moyoni mwake.
 
Back
Top Bottom