Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
- Thread starter
- #21
No, tumekataa kendelea kuliwa ndiyo maana tunapigana kiume.
wakati mwingine huwa napata mawazo mabaya, kwamba hivi kuna ubaya gani watu wakaanzisha ugaidi wa kuhujumu migodi na miundo mbinu yao hawa wawekezaji kwa mabomu ili kuwakimbiza waone Tanzania siyo mahali pa kuiba madini?
Tunakoelekea naona kama itafikia mahali watu tutakosa uvumilivu.
sidhani tutafikia huko na hatupaswi kufikia huko, kwani tukifikia huko tutakuwa tumeshindwa kwenye hoja!