Mahojiano ya Rais Kikwete na Financial Times

No, tumekataa kendelea kuliwa ndiyo maana tunapigana kiume.

wakati mwingine huwa napata mawazo mabaya, kwamba hivi kuna ubaya gani watu wakaanzisha ugaidi wa kuhujumu migodi na miundo mbinu yao hawa wawekezaji kwa mabomu ili kuwakimbiza waone Tanzania siyo mahali pa kuiba madini?

Tunakoelekea naona kama itafikia mahali watu tutakosa uvumilivu.

sidhani tutafikia huko na hatupaswi kufikia huko, kwani tukifikia huko tutakuwa tumeshindwa kwenye hoja!
 
sidhani tutafikia huko na hatupaswi kufikia huko, kwani tukifikia huko tutakuwa tumeshindwa kwenye hoja!

Umenena na huyo nayeingiza hayo mambo JF, ASHINDWE maana hapa ni hoja nzito nzito na hoja na mikakati ya kisayansi zimewatoa jasho
 
watu wa namna hiyo wanataka kubadili mjadala au kuifanya JF iwe chombo kinachotaka kuondoa serikali madarakani nje ya njia za kisheria au kwa kutumia taratibu zisizokubalika kikatiba. Ingawa ni kweli kuwa haki ya kutawala inatoka kwa wananchi na ni kweli kuwa kimsingi haki ya kuindoa madarakani serikali haramu, isiyo na ridhaa na wananchi na ambayo ni kiukandamizaji inabakia mikoni mwa watu; serikali ya CCM ni serikali halali na haiwezi hata kidogo kuwekwa kwenye kundi la serikali zisizo na ridhaa ya wananchi au ya kimabavu. Serikali isiyowajibika na yenye kulea uzembe na kuzawadia ubovu ni serikali inayoweza kuondolewa kwa hoja! Imetokea Senegal, imetokea Kenya, imetokea Malawi, na inaweza kutokea mahali pengine popote pale!
 
nilitegemea hii intavyuu itawekwa kule kwenye recycle bin au itachanganywa na moja ya threads za mheshimiwa rais !
 
nadhani utakuwa hujui ninachoongelea ! kwa sababu ile ile intavyuu ya zitto ilivyounganishwa ! lets not go there again though !
 
muungwana english yake grammar haijatulia sana..anarudia sana vocubullary..hasa anapoongea free stlyle..mwalimu enzi zake interview kama hiyo ungemsoma ni as if umeingia kwenye darasa la literature..afadhali ben mkapa alikuwa anaongea kinachoeleweka ..huyu mwenzetu ameshazoea kuongea kimaskani maskani..sasa sijui kama asingepitia foregn office ingekuwaje...

Phil..........heshima mbele mkuu.........yaaani mi nimesoma hii interview na kuna sehemu kama hii hapa
FT: There’s a sense from what you’re saying of this tremendous potential in Tanzania. You have great agricultural potential, mining potential, tourism potential, but it’s taking a long time to realise this potential. What do you think is holding Tanzania back?
JK:
I don’t know. Of course this is precisely the question that I ask every day, what is it that we have not done? I think we have been leading the continent in terms of attracting mining investments in the mining sector. But we are still working (on attracting investment to other sectors). Maybe the message has not quite reached home.

FT: Do you think you’ve fully shaken off the legacy of the socialist years?
JK: I don’t see that one as a problem any more. But, well, investments move from place to place from time to time. Maybe our time is soon coming.

FT: But if you look at agriculture so far and you say, this is the central driver of growth and it’s only 4.5% of investment. Surely you’re going to have to attract more to agriculture.
JK: Well, I know. But to me the most critical thing in agriculture is investing in the peasant agriculture, transforming peasant agriculture. Because if we succeed in transforming peasant agriculture, that will make a hell of a difference.

FT: Do you think you’re too dependent on aid?
JK: Of course to some extent, yes. But of course the aid dependence is coming down.

FT: It’s still nearly 50% of your budget.

JK: It has been coming down. It used to be about 50%, now it’s 45% last year, it’s 42% this year. Of course it is a function of us improving on collecting our own revenues. Because otherwise in terms of volume of aid, definitely in terms of money it has not been diminishing. But what has been increasing also is our proportion.

FT: Given the extent of donor support you could argue that your government has become more accountable to the donors than to your own people.
JK: That’s not true. Of course we are accountable to our own people. The issue really is about ownership of the development process itself. In the past, of course, we used to be in a situation where the donor knows best. Now there is greater ownership of the development process in the country. We design our own programmes, we take leadership. Of course the donors come in to support us, to complement our efforts. Our responsibility to the donors is about accountability; about how we use that money. If somebody gives you his money, definitely he will be interested in knowing how you spend the money. It’s not a question of being more accountable to them than to our people.

Hilo swali ambalo MKJJ ame-underline, kwa kweli jibu la JK limenikatisha tamaa kabisa kabisa..........................hivikweli the answer ni ....I DON'T KNOW!!!!!!!!!!!!! yaani tumekwisha..................hivi hii interview ilikuwa ya kushtukizwa??!!

Tumechagua mtu ambaye hajui matatizo yetu na hata kama yapo hajui atayatatuaje!!!!.....aisee hii KALI ya mwaka!!!
 
Wanabodi,
Asalaam Aleikum na kheri za mfungo wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Nimepitia mahojiano ya rais wetu, kusema kweli yameniacha HOI!....Yaani sina hata la kuongozea ikiwa rais mwenyewe kafikia kusema I don't know!....
Kwanza kabisa nilikubaliana naye sana alipohojiwa na VOA kuhusu madini hasa pale aliposema kwamba hadi sasa madini hayajaweza kuwanufaisha wananchi moja kwa moja.. hapo nilitegemnea mabadiliko ya mikataba ambayo iyangeweza kuondoa hilo neno I don't know!..kwani alifahamu kosa lipo wapi!
Leo hii anaulizwa kama anatosheka na kile tunachokatiwa anajibu tena YES! na of course juu! tena kaulizwa mara mbili kwa mshangao! kama namwona muulizaji!...kisha JK anaomba kama wataweza kutuongezea atashukuru zaidi...DAMN!
Jamani huu ni mkataba ama tunaozesha mwali asiyekuwa na macho!.

Wanabodi, Majibu ya yote haya ni simple kabisa lakini katika lugha ngumu kidogo kuitambua. MALI ni yetu lakini sio YETU....tumeuza ardhi tu!
Naposema mali ni yetu lakini sio yetu nina maana ya lugha anayotumia rais wetu kuweka mikataba hiyo kwani yaonyesha wazi mikataba hutayarishwa na wawekezaji (mfano wa Buzwagi) na sisi hukubali kumegewa makombo ambayo tumeyaita tax hali rais wetu mwenyewe ametumia neno CONTRIBUTION...
rudia kusoma mahojiano haya utaona nachokisema hapa..

FT: Are you satisfied with the £200,000 local levy that the mining companies have agreed to pay?
JK: Of course.
FT: Is that enough?
JK: Well of course if they could give more, well why not? I'd appreciate it…it's (part of) corporate social responsibility. We are simply saying, you are making money out of this district. Well, make a contribution that is really going to impact on the lives of the people out here. You take all the minerals out and after the minerals have been depleted you only leave the holes on the ground; off you go. And then you leave the people in the districts to fall into the pits. So we are saying at least make that kind of contribution…

Dhahiri maelezo ya rais wetu hapa yanaonyesha wazi kuwa nchi yetu imeuzwa! hakuna makubaliano ya kibiashara kati ya wawekeshaji na serikali yetu yaani hawa jamaa wamekuja posa mwanetu na wanachokitoa ni mahali na mkaja. Rasilimali ya nchi yetu imegeuzwa kuwa mwali anayetafutiwa mchumba badala ya kuona mali hiyo kama mirathi tuliyopewa na Mungu na tuna kila sababu ya kuweka masharti tunayoyataka sisi.
Hapakuwepo na sababu ya sisi kutopewa asilimia ya umilikaji wa mali hizi na hata uwezo wa kuziingiza ktk soko letu nchini. Hivi kweli viongozi wetu wanafahamu hiki kitu UKOLONI MAMBOLEO?..Je, wanafahamu unafanya vipi kazi zake ama inatakiwa warudishwe tena darasani kupata kuelimishwa athari za Ukoloni mamboleo labda inaweza kuwapa mwanga kidogo.
Mzee Mwanakijiji,
Shukran sana kwa ku raise swali la kipimo cha kodi hizi kwani inashangaza kuona kosdi zetu hazina vigezo isipokuwa amount inatundikwa ukutani kuuza ardhi kwa thamani fulani badala ya kile kinachozalishwa!.



malipo yote yanayotokana na vitega uchumi hivi hayawahusu wananchi moja kwa moja. Pili makampuni mengi yanayoendesha shughuli hizi yamesajiliwa nje na hapa nyumbani huingiza vijikampubwa kuliko yote ni kwamba Madini, Viwanda na Utalii vyote vinaendeshwa na makampuni ya nje ambayo yamesajiliwa nje ktk masoko yao.. nyumbani tunacholetewa ni company ambayo.
 
Mzee Mkandara, pole na swaumu kaka na kazi.. tunakumiss hapa! Umekuwa kama Kada bwana.. kuonekana kila mwezi mpevu!
 
FT: Are you satisfied with the £200,000 local levy that the mining companies have agreed to pay?

JK: Of course

:(

What a joke. First of all isn't it 200,000 dollars not pounds.

It's unbelievable this man actually thinks this is enough. It is probably less than the salary of a juniour executive at Barrick. Look at South America:-

"Latin America is an exemplar for the newly assertive nations. In 2004 the governments of Chile and Peru imposed new royalties. Last year Peru convinced mining firms to spend some $780m on social programmes over five years."
 
FT: Do you think you’ve fully shaken off the legacy of the socialist years?
JK: I don’t see that one as a problem any more. But, well, investments move from place to place from time to time. Maybe our time is soon coming.

Wakuu, mbona hili ni tatizo kubwa sana katika maendeleo ya kiuchumi na siasa Tanzania. Tumebadili mfumo wa uchumi miaka ishirini iliyopita, lakini wananchi hawakuandaliwa na mpaka leo hakuna maandalizi ya kutosha kuhusu mfumo huu wa uchumi wa soko huria.

Mitaala ya shule bado ni ile ile ya kijamaaa. Wananchi hawakufundihwa na wala hawaelewi nini kinachoendelea. Utamaduni wetu bado ni wa kijamaa jamaa. Bunge bado linaendeshwa kijamaa, halafu rais anaulizwa anasema haoni kama hilo ni tatizo.

Hili ni moja ya matatizo yetu makubwa katika maendeleo ya ki-uchumi Tanzania. Kama muheshimiwa rais hafahamu kama hili ni tatizo...basi, huyu ndiye yule nguruwe tuliyeuziwa akiwa kweye gunia.
 
Mkandara said:
Kwanza kabisa nilikubaliana naye sana alipohojiwa na VOA kuhusu madini hasa pale aliposema kwamba hadi sasa madini hayajaweza kuwanufaisha wananchi moja kwa moja.. hapo nilitegemnea mabadiliko ya mikataba ambayo iyangeweza kuondoa hilo neno I don't know!..kwani alifahamu kosa lipo wapi!

Mkandara,
Mikataba mibovu yooote ni matokeo ya kazi ya Raisi Kikwete. Nasema hivyo kwasababu Sera ya Uwekezaji na Uchimbaji madini ilipitishwa wakati Kikwete akiwa Waziri wa Nishati na Madini.

Mwalimu alishatuonya kwamba tusichague sura. Bila shaka alikuwa akimzungumzia Kikwete maana alimjua kwa kuzingatia rekodi ya kazi yake.

Hapa tumeuvaa mkenge. Tunakumbuka shuka wakati kumeshakucha. Tusubiri mwaka 2010 labda tutakuwa tumepata akili, manaake Watanzania bwana.
 
Mkjj,

Nilidhani bado nina mvinyo kichwani mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Nilipoangalia tena maana ya ujamaa nilizidi kuchanganyikiwa. Kama sisi ni wajamaa mbona bado tunaendelea kupokonywa mali yetu yote ya asili? Kazi kweli kweli.
 
Bado najiuliza swali kuhusu Bunge letu. Je nini kitatokea huko? Mbona kwa sasa ni wazi kabisa Zitto kaonewa na imedhihirishwa kwamba Karamagi ni muongo? Can anybody tell me what next?
 
Kutoka Gazeti la mwananchi (Oct 6): Wakati huo huo, Joyce Mmasi anaripoti kwamba Rais Kikwete amesema ifikapo mwaka 2010 migodi yote ya madini nchini itakuwa inalipa kodi kikamilifu.


Rais Kikwete aliyasema hayo alipokuwa akihitimisha ziara yake ya wiki mbili nchini Marekani ambapo alikiri kuwa mikataba ya madini iliyosainiwa zamani ina mapungufu makubwa kutokana na walipa kodi kutolipa kodi ya maana.


Rais Kikwete ambaye aliripotiwa akiyasema hayo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV cha jijini Dar es Salaam, alisema kutokana na kuwa mikataba ya zamani ina mapungufu, serikali itahakikisha inabadilisha mikataba mipya ili kuondoa mapungufu ya zamani.


"Wawekezaji wapya hawawezi kupewa mikataba kama ile ya zamani...sasa kama wapya wamepewa asilimia 15, basi hapa hakuna haja ya kuhangaika, huyo atakuwa amekiuka maagizo yangu, huyo mniachie mimi, hiyo ni kazi yangu.

Hata hivyo Rais Kikwete alisema, mipango ya serikali ni kupata asilimia 33 ya faida inayopatikana na akasema, "kama mgodi unapata dola 100, serikali itapata dola 33, hizi ni pesa nyingi na zitasaidia sana" alisema.


Alisema tayari wameanza katika baadhi ya migodi, na kuwa ifikapo 2010, migodi yote tangu ule mdogo mpaka ule mkubwa wa Bulyankulu utakuwa unalipa kodi kikamilifu.


"Tusingebadilisha hiyo mikataba, wenye migodi hiyo wasingelipa kodi mpaka mwisho wa uhai wa migodi hiyo, lakini serikali imeona na kuamua kuipitia upya," alisema.


Jamani kwa mtaji huu Karamagi kasema uongo na kwa kweli sasa anapaswa kujiuzulu tu!!
 
Ndugu rais, Mheshimiwa, ustadh, muungwana JK pleaseee! tatizo sio kodi ila ni nchi yetu kukosa hisa katika mali yetu wenyewe!..
Ebu kwa mara ya kwanza acha kuzungumzia kodi ambayo ni lazima kwa kila mwekeshaji nchini awe Mtanzania ama mgeni na hata kama malighafi yote ni yake.
Tunachosema wananchi ni kwa nini mikataba hii haina Ubia na serikali yetu?.. Botswana http://www.debswana.com/Debswana.Web/About+Debswana/History+and+Profile/ na nchi nyinginezo wanazo kampuni za kitaifa zinazokusanya fungu (hisa) la taifa kwa nini sisi ktk madini yetu Stamico wasiwe wamiliki na washiriki ubia wa hizi kampuni.
Hata kama wasipolipa kodi hiyo 2010 kama tuna fungu letu (hisa) ndani ya miradi yote hii hatuwezi kuwa tunapoteza Utajiri wetu bure na kuomba contribution zao.
They an't doing us a favour!
 
1972-1982
The birth of Jwaneng Mine
In May 1978 De Beers Consolidated Mines Ltd and the Government of Botswana signed an agreement to establish Jwaneng Mine. Debswana is a company in which the Botswana Government and the De Beers Consolidated Mines Ltd each hold a 50% share. Construction of the mine and the township commenced rapidly, the former coming into full production in July 1982. The Mine was officially opened by the then President of Botswana, His Excellency Sir Ketumile Masire in August 1982.

On this occasion, the President said: "Not only would Jwaneng Mine bring benefits to the community in the southern part of the country, but that it would also increase Botswana's revenue in foreign exchange, thereby helping to finance development throughout the entire country."

The commissioning of Jwaneng placed Botswana among the most important diamond producers in the world.

Mkandara nimekupata hapo:
Badala ya kodi pekee, Serikali ni lazima iwe na SHARE katika shughuli nzima za Madini.

Kwa sababu kama hatuna share katika madini yetu, tafsiri ya jumla ni kwamba hatuna share katika kile ambacho ni chetu!! .this is very ridiculous and very contradictory.

Kuwatoza kodi ni haki yetu kwa sababu "wanaoperate" katika nchi yetu.

Na kuwa na share katika madini yetu ni haki yetu vile vile kwa sababu ni mali yetu

Madini siyo karanga bana kuwaachia wachume bure halafu tuwatoze kodi tu, lazima na sisi tuwe na Share pia kama BOTSWANA walivyokuwa na share katika madini yao
 
Debswana said:
Debswana Diamond Company (Pty) Ltd is a unique partnership between the Government of the Republic of Botswana and De Beers Centenary AG. The main purpose of the company is to mine, recover and sort diamonds. Although Debswana uses the most up to date technology to carry out its business, it is the people it employs and the skills they bring that make Debswana a successful operation. The Botswana diamond mining industry is characterised as the lifeblood of the country, nurturing the entire population to a higher standard of living and better quality of life.

Debswana is the world's leading diamond producer by value and has played a significant role in the transformation of Botswana’s economy that it was. It is the largest non-government employer and the largest earner of foreign exchange in Botswana.

Debswana's mining operations have been largely responsible for transforming Botswana from an agriculturally based economy in the 1960s to a country that has consistently displayed one of the highest economic growth rates in the world.

Hii ni dhuluma ya wazi wazi kabisa na JK pamoja na kundi lake wanafahamu hivyo lakini wanalifumbia macho kuwa litaisha bila longolongo wakati WTZ wameamka zamani sana na sasa ngoma ndio imeanza.
 
"Wawekezaji wapya hawawezi kupewa mikataba kama ile ya zamani...sasa kama wapya wamepewa asilimia 15, basi hapa hakuna haja ya kuhangaika, huyo atakuwa amekiuka maagizo yangu, huyo mniachie mimi, hiyo ni kazi yangu.

Jamani kwa mtaji huu Karamagi kasema uongo na kwa kweli sasa anapaswa kujiuzulu tu!!


Mwenzio anaamini yeye ni safi..sio fisadi na ndo keshaandaa mashtaka dhidi ya Dr. Slaa...nadhani kwa mtaji huo vile vile yatakayofuata ni dhidi ya Muungwana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom