Mahitaji ya mtama mweupe

Nyuki1994

Member
May 1, 2023
90
180
Habari za wiki end wadau. Kama mada tajwa hapo juu maelezo yanaeleweka naomba mwenye connection ya kupata bidhaa hiyo kwa wingi anijulishe.
 
karibu tufanye biashara up kwa wingi saana kusini mwa tanzania waliya ya liwale kijiji cha miluwi hata ukitaka tani mia unapata 0625977427
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom