Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 515
Wakuu habari za majukumu? Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya maisha ya kila siku. Kutokana na changamoto ya janga la Korona hivyo inatupasa kujikita zaidi katika "digital marketing" and "online businesses".
Nimeona humu jukwaani watu wakijaribu kuulizia na kutaka kufanya manunuzi ya vifaa vya kielektroniki kwa maduka ya Nairobi kwa kupitia mitandao ya kijamii kama "facebook" na "instagram" ambayo ni 'very risks' hasa ukizingatia utapeli umeshamiri sana hasa kwa upande wa huku Kenya.
Hivyo basi nimepata wazo sababu ya siku za weekend nakuwa na muda mwingi wa bure na ukizingatia naishi katika viunga vya jiji la Nairobi, naweza kuwa nautumia kutafuta vifaa vya kielektroniki kwa mtu atakayekuwa na mahitaji hayo na atanilipa ujira kidogo kwa ajili ya muda nitakaotumia.
Nimeshatuma mizigo mingi kuja huko Tanzania ambayo nimeagizwa na baadhi ya marafiki zangu...kutokana na bei ya hivyo vifaa kwa huku Kenya inakua ni nafuu kidogo tofauti na huko Tanzania.
Hivyo basi itachangia mimi kupata kipato kidogo kipindi cha muda wangu wa bure pia na wewe itakusaidia kupata genuine product kwa affordable price. Gharama za utumaji zitakuwa ni juu ya mtu anaeagiza.
Nakaribisha maoni, ushauri, mapendekezo, maboresho na mawazo
Contact: WhatsApp number +254 759 071 040
CC: Chief-Mkwawa