Mahita na nyumba ndogo: Mtoto adai babake; ye amweka ndani

Jamani Mahita si ni muhumini wa dini ya kiislamu?
kwa mujibu wa dini yake anaruhusiwa kuwa na wake hadi wanne.
Si angeoa wake wengine zaidi na angepukana na tezeha hizi.
au kashafikisha idadi ya wake wanne!!
Tamaa nyingine bana!!
 
Huyu Mahita hana akili timamu, apelekwe Hospital ya Vichaa Mirembe. Kwa nini upende kujidhalilisha kwa vyombo vya habari wakati unajua kuwa fika wewe ni mdanganyifu na issue yenyewe ni kweli? Maliza mambo kiutu uzima man. Hata nguruwe na uchafu wake anapenda watoto wake, kama hujui hilo jaribu kumkamata mtoto wake uone atakavyokutolea macho na meno, na kutaka kuvunja mlango au banda afuate mtoto wake, achilia mbali kuku na vifaranga wake ambaye anapigana mwewe kuhakikisha usalama wake na wanawe. Wote hawa ni wanyama na ndege ambao hawana utashi alio nao binadamu. Sasa wewe Mahita tukuweke kundi lipi? Shame on you taahira wewe, tangulia Milembe.
 
Kiukweli mimi namfahmu huyo dada...aliezaa na mahita na nadhani hata watu wote wa mkoa wa kilimanjaro wanamjua alikua ni trafic mjini moshi kabla ya kuhamishiwa wilayani hai...nadhani mahita na familia yake wanamfahamu huyu mtoto vizuri kabisa na kiukweli si kitu cha kujificha kwa maasakari wa moshi kwani wengi wanamjua huyo askari na mtoto wake hapa mahita ndo anaonekana kichaa kabisa

Ohhhhhhhh! Kumbe kuna ushahidi mkubwa tu kama huu halafu anakataa baba huyu, basi Polisi wanamuonea bure maskini mtoto yule kwa vile tu Baba mtu alikuwa mtu mkubwa serikalini na hamtaki, lakini hivi kwa nini kidume wewe Mahita huwa hutaki kupimwa DNA kuonyesha kuwa unasingiziwa? hivi wakati ulipokuwa unagugumia ulifikiri inatoka juice ya ukwaju? Tafadhali wajibika na kulea watoto wako mwenyewe usitupe taabu kutuongezea watoto wa mtaani wakati baba unakula pension ya watanzania na tabia yako hii ni lazima hapo baadaye mungu atakulaani tu huwezi toka salama kwa kuikana damu yako, hivi jamani Mahita ni kabila gani? kwani inanikumbusha bwana mmoja tulisoma naye alikuwa mtu wa Morogoro naye. alikuwa bahiri saaaana kwa kila kitu hataki wengine wapate hata kama ni hawara yake, akikuona umemchukulia hawara yake basi yeye ili kuharibu alikuwa anaenda nyumbani kwao binti na kuchoma utambi ile mbaya ali mradi tu umkose huyo binti abaki yeye peke yake, shame on yu Mahita
icon6.gif
 
Pata picha Mahita amevaa kofia yake ya kiporisi halafu amesaula kila kitu and anamfakamia binti yako...... tegemea mimba ya kikamanda hapo.

Jamaa nadhani ana amnezia maana hakumbuki idadi kamili ya wanawake aliopitia. na alidhani kuchomeka na kumwagia is just a game tu, kumbe kuna vinginge vyake mbeleni. Aibu kweli kamanda huyu

Je akiwa mbunge (kama anavyotaka) si itakuwa kasheshe jimboni?
 
alikuwa anapenda sana kavu kavu hayo ndo matokeo yake sasa


ujinga tu

mbona kavu kavu wameenda wengi tu
wakifika kumwaga wanaitoa kama
sindano ya """chanjo ya mtoto"""unamwaga nje
hili jamaa si mnakumbuka lilikuwa likikupa u kuu wa polisi mkoan unamhakikishia nyumba ata kama ni ya wizi ye anajua la kufanya so yawezekana binti alihakikishiwa akamtenda..huyu jamaa jamani we acheni ni ana fwedha....ana magari ya wizi zaidi ya 30
nyumba ikoani aziongeleki..alichoponea ni pale ccm walipompa mkoba wa kuwapiga mikwara watu

wakaona si ustaarabu kummaliza..

Mshenzi sana huyu
 
Hivi karibuni nilikuwa Morogoro, wenyeji wangu walinitafutia chumba B-one Lodge, Zipo zaidi ya sita mjini Morogoro.

Baadaye nilipata taarifa kuwa zinamilikiwa na Omari Mahita, kesho yake ilibidi nihamie hotel nyingine
 
Back
Top Bottom