Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Mahingila ambaye ni bosi wa BRELA anashauriwa aende Rwanda akajifunze
Kufungua kampuni Tanzania ni minimum mwezi mzima (maximum miezi 3)
Kufungua kampuni Rwanda ni dakika 25 (maximum dakika 30)
Ku search business name BRELA ni shilingi 30,000 (Rwanda ni free online)
Ku register kampuni Rwanda ni BURE
Ku register kampuni tanzania ni 300,000
sasa kama Mary Nagu na Lazaro wameshindwa kwanini Mahingila asiende kujifunza Rwanda?