irenengowi
Member
- Jan 31, 2011
- 11
- 2
jamani hebu acheni umbea, Nyaga hajazaa na Rehema. Amezaa na mwarabu koko wa Mauly Tours. Mimi nimemjua Nyaga kwa miaka mingi sana na hajawahi kuwa na mahusiano yakimapenzi na Rehema, nilifanya kazi Mawalla advocates so please ongeeni facts and tuepuke umbea.