Mahekalu ya Vigogo kuvunjwa ufukweni

mlisema kikwete ni dhaifu

Wewe wasemaje? Hivi wakati hizo nyumba zinajengwa serikali ilikuwa wapi? Sawa, wahusika hawalipwi fidia, je gharama za kubomoa anabeba nani? Hivi kweli hizo kodi zetu hazina matumizi ya manufaa zaidi ya kujitahidi kuziba udhaifu?
Serikali imara huwa hazisubiri kubomoa, zinasimamia ujenzi.
 
mlisema kikwete ni dhaifu

Nahisi kuna mtu analengwa, why 2012 and not 2005 or 2011? kwani alianza urais mwaka 2012? Nijuavyo mimi, maamuzi ya serikali hii ni subjective always, not objective. Tusubiri tuone.
 
itkuw ni wazee wa intelejensia, si mmemuona kenyela yupo hapo! nadhni hao wote hawakutoa mchango wa mwenge, u waweza kuta kuna vitofa vya ma daktari wetu ndo maana wanalipiza
 
Serikali yenye maamuzi ya ZIMA MOTO, chuki na hila ni hatari na ni wa kuogopwa kama ukoma!!!

itkuw ni wazee wa intelejensia, si mmemuona kenyela yupo hapo! nadhni hao wote hawakutoa mchango wa mwenge, u waweza kuta kuna vitofa vya ma daktari wetu ndo maana wanalipiza
 
huo ndio udhaifu wenyewe wa kuacha watu waharibu ndio unajitokeza tena kwa kuchagua maeneneo na watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom