Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

Kutoka out dina ni muhimu hata kwa waliooa. Mara mbili kwa mwezi si mbaya. Spurs sio pabaya sema sio romantic sana. Lemon tree ya quality center iko tupu sana, mnaweza kuwa peke yenu. Kama una 50k jaribu southern sun, sio ijumaa lakini. Karambezi sio pabaya. Tafuta advertising dar, wanajitangazia sana kule na utakuta na themes mbalimbali. Chukua namba ya simu ulizia range ya bei. Wengi ni waelewa watakuelekeza vizuri tu

achana na watu wanaokukejeli na idea yako.
 
Kaazi kweli kweli...what do we know about our frame of references? Kila mtu ana namna yake anavyoyaangalia mambo ya ulimwengu huu. Hakuna formula ya jumla jumla.
 
yaani huu mwingiliano wa kacha unatupasua vichwa!!!
Huwezi elewa au eleza jambo usilolielewa.

Hii ni imported, period:

nunua jogoo na mchele mpike hapo nyumbali mle kwa raha zenu, soda zikipatikana ni anasa. Mwaweza tumia zile juisi/soda za unga unachanganya na maji, nimezisahau jina.
 
Kaazi kweli kweli...what do we know about our frame of references? Kila mtu ana namna yake anavyoyaangalia mambo ya ulimwengu huu. Hakuna formula ya jumla jumla.
Hapa hatuna ubishi.
 
yaani huu mwingiliano wa kacha unatupasua vichwa!!!
Huwezi elewa au eleza jambo usilolielewa.

Hii ni imported, period:

nunua jogoo na mchele mpike hapo nyumbali mle kwa raha zenu, soda zikipatikana ni anasa. Mwaweza tumia zile juisi/soda za unga unachanganya na maji, nimezisahau jina.

Zinaitwa togwa...ntasahauje jina sababu nimehamia mjini wakati nimekulia kijijini?
 
nenda City Garden restaurant, utapata buffet kama utataka ama chaguo ngingine zako, ama nenda pale Haidery Plaza ghorofa ya pili kuna restaurant nzuri sana pia na imetulia mnooo
 
kama dada ni mstaarabu zinatosha sana.
plate mbili ni 20-30,000 na the rest vinywaji/desert.
we mwambie tu sehem nzuri ya kwenda.

wanaosema 50 haitoshi ni wale wasioenda huko. Navyojua mimi inatosha sana na chenji juu, ilimradi tu msifakamie vinywaji.
 
Mwe kumbe hii thread bado ipo mnatoana mapovu!! mimi niko na baby wa kimanga tunamake things happen cheers!!
Posted by matola via Nokia kitochi.
 
dogo siku zote aliye rukwaa ukuta anashakia na wengine wameisha rukiwa....pole sana sikujua kama unagonjwa lisio tibika, nenda kawalishe ma gf kama unao na pia na wasi wasi watu kama wewe ni vigumu kuwa na gf, kama unaoa labda wale wa show off atleast uonekana na wewe dume angalau.

Wanaume wengine hupenda kujionyeshi wao wanaume...hizo show off zenu zina mwisho wake, kama una dada Im looking for a second wife, afu umulize kama niko kama unavyo sema atakupa jibu.


dogo ukijidai muhuni wa kutuukana hapa ujuwe nilisha maliza uhuni wote, itabdi utafute watu kumi wengine wakusaidie, au uombe msada kwa moderator mana hunitishi takuweka sawa tu :biggrin:

hunipi shida, nshakufahamu we ni mtu wa aina gani!
 
Mwe kumbe hii thread bado ipo mnatoana mapovu!! mimi niko na baby wa kimanga tunamake things happen cheers!!
Posted by matola via Nokia kitochi.
O-K, ujumbe umefika sa sijui hapo bongo nani siku hizi sio mwarabu, mana wanawake wote wana nywele za singa.
 
acha togwa
kuna zile walikuwa wanakunywa watoto wa wafanyakazi tu

sijui zilikuwa zinaitwa dip sijui nini
ila zinakuwa kwenye mfumo wa unga ndani ya pakiti.

Zilikuwa eksipensivu sana, 120.

Zinaitwa togwa...ntasahauje jina sababu nimehamia mjini wakati nimekulia kijijini?
 
dogo wewe unadhani akili kula nje, kale nje na mimi naona kula nje sio akili, wewe kalishe gf afu akupige mateke wengine waje wajilie bila hata bila ya kumlisha nje.

Laizma uwe mkali mana ndo dalili zinaonyesha umezoea kuliwa pesa zako nje kila siku na unatoka kapa!

Kwanza kama wewe una akili kama unavyo dai utamlsiha mtu ambaye hana njaa!

Kama wewe una akili umewahi kumlsiha mama yako aliye kuzaa kwenye hoteli au restaurant za kifahari ? sidhani!

dogo nenda kajifunze nini mana ya kupenda, kupenda sio kumpeleka mwanamke kwenye mahoteli ya kifahari au kumlisha kwenye ma restaurant ya kifahari....kwanza huyo sio mke wako, pili huyo kama si mke wako vipi mwanamke anaheshima zake akubali kuepelekwa kulishwa, kwani yeye masikini na akawe sinema mbele za watu, wakati bado sio mke wako!

Kama umeowa sawa hatukatai ukimtoa wife out mara moja moja, lakini hujaoa na mwanamke hajaolewa huo ni ujinga na wala sio akili :biggrin:

duh! Mahasira laki tisa. Sioni kama amekosea, waache wabadilishe menu na mazingira.
 
:welcome: kwenye :A S new:Thread wakati mwingine ukiwa na mawazo mapya. Pole kama Umekwazika lakini lengo lilikuwa moja tu la kuwekana sawa!
Hapa mtu anaye kasirika huwa na muona ana matatizo, wewe usijali kabisa.

Sio kila siku mimi niko sawa nacho ongea, wala sio kila siku wewe uko sawa unacho ongea, kitu muhimu tunabadilishana mawazo....ukipenda mawazo yangu sawa, usipo penda hatulazimishani, same here nikipenda mawazo yako sawa, nisipo penda usinilazimishe kukubaliana na wewe.
 
Back
Top Bottom