Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

Hizi stress zitakuuwa mapema, u will die young, umri huo kama unakuwa na akili za kijinga kama hizo basi ukifanikiwa kufikisha miaka 40 ni lazima uwe mchawi.
Mimi saa hivi ninavyobofya hii keyboard nataka niingie bafuni sasa hivi nipige shower na ratiba yangu ya leo ni hii hapa:

Nawasha mkweche wangu moja kwa moja mpaka kwenye appartment ya mrembo wangu wa Kiarabu nampick mpaka Masaki kwenye mishikaki ya Samaki then tunakwenda Cinema Quality center, baada ya movie kuisha tunashuka flow ya chini tunaingia Lemon tree, pale tayari itakuwa ni usiku, kunakuwa na live jazz music, basi hapo ndio dinner yangu ya leo na mrembo wangu wa kiarabu itakapolika. baada ya msosi na kusikiliza Jazz za kutosha then tutapandisha ngazi ndani ya Savanna Lounge na kuanza kula beer kwa kwenda mbele na Disco zito la uhakika mpaka majogoo.
Wewe endelea kuishi na stress zako tu, na kwa yule mwana JF atayependa kuonana na Matola live leo awe makini kuangalia ni meza gani ina binti wa kiarabu anaepiga Wisky.

Dah.......wataisoma leo, huyu ndie Matola originale wengine watabaki kuiga tu!! Lol
 
.... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....= hizo gharama unazoa-anza naye uwe tayari baadae kumuacha atafunwe na wengine pindi utakapokumbwa na economic crunch.....unajitutumua mpaka twenty to fifty....tchao
Jamani mbonahiyo ni such a small amount, twenty tu? Hah
 
kaka kwa bajeti hiyo basi kakae pale B Bar pata bia zako na kilo moja unusu ya ''mnyama wa taifa'' outing imeisha
 
Hahaha,

Wazee thanks kwa comments na suggestions zenu. I just wanted to make a simple outing, nothing expensive. Just something I don't do everyday.

Mwisho wa siku ratiba ilikua ni White Sands - pametulia sana. Budget ilikua ndogo sababu mi sio mtu wa vilaji, nshastaafu.

Ila nilikua sijui kama kuna watu wanadhani outing ni ushamba. Anyway, outing sio tu kwa sababu unamtoa msichana nje, sometimes ni hata kwa ajili yako binafsi. You want to feel something different, along with a company -that's all.

Kwa wale mnaotoa wake zenu nje, that's a good thing. Ila wengine hatujaoa bado, sasa tumtoe nani na hatutaki kwenda man alone?

Ila bana hii thread was so fun!

Thanks,

Ram
 
Hahaha,

Wazee thanks kwa comments na suggestions zenu. I just wanted to make a simple outing, nothing expensive. Just something I don't do everyday.

Mwisho wa siku ratiba ilikua ni White Sands - pametulia sana. Budget ilikua ndogo sababu mi sio mtu wa vilaji, nshastaafu.

Ila nilikua sijui kama kuna watu wanadhani outing ni ushamba. Anyway, outing sio tu kwa sababu unamtoa msichana nje, sometimes ni hata kwa ajili yako binafsi. You want to feel something different, along with a company -that's all.

Kwa wale mnaotoa wake zenu nje, that's a good thing. Ila wengine hatujaoa bado, sasa tumtoe nani na hatutaki kwenda man alone?

Ila bana hii thread was so fun!

Thanks,

Ram
Hakuna mtu anasema vile ni lugha tu rafiki tumepishana, mimi naongelea view yangu kumlisha gf nje haita tokea hata siku moja, mpaa awe mke wangu hapo sina shida.

Nimefurahi sana kusikia umefurahii na nadhani shemeji yetu mtarajiwa kafurahi pia, lakini angalia tu usije ukakosa pesa, na ukamkosa yeye...mana wanawake huwa wanatazama toka kiatu ulicho vaa, mpaa simu unayo tumia...akiona kimoja hajapendezewa nacho, hakumbuki you spent how much katika siku hio, anatafuta mwingine aliye pendezewa naye :biggrin:
 
yaani huu mwingiliano wa kacha unatupasua vichwa!!!
Huwezi elewa au eleza jambo usilolielewa.

Hii ni imported, period:

nunua jogoo na mchele mpike hapo nyumbali mle kwa raha zenu, soda zikipatikana ni anasa. Mwaweza tumia zile juisi/soda za unga unachanganya na maji, nimezisahau jina.

Inaitwa togwa.
 
Mambo ya kumlisha mwanamke nje mbona yamepitwa na wakati dogo.

Wewe uko dunaini gani dogo, siku hizi wanawake wanatazama figa zao hawataki kula sana, wao wanataka frut salad na umpigishe exercise hapo atakuganda...kwenda sijui kwenye ma restaurant au kujishow off mahotelini, hapo ndo anapo anza kukuona wewe ni muaza magazeti tu, atakuona kama wale wanao penda kujisifia kama ana gf siku hizi.

Kwani ametaja aina ya chakula anachoenda kula? Usipende kukurupuka mkuu.
 
We ndio kiazi kweli kweli...yaani umetumia mda wako kuandika ***** huuu....unaita point...wapi matola angalia hii mtu....tumia pesa zikuzoee wewe...utakuwa unasikia tu sehemu nzuri.....mida mida mie ntakuwa zanzibar beach resort
kwenye swimming na mtoto wa kihabeshi....ukiona savannah karibu na pool just i am in.....asubuhi sana first coastal flight niko dar...naenda pande za Quality center kama alivyo eleza Matola.

Swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Kamua baba....kamua!! LOL
 
Back
Top Bottom