Mahali gani naweza kupata GPS?

Bilulu II

Member
Oct 7, 2014
58
6
Wadau mambo vipi? Kwa anaejua mahali gani naweza pata GPS ya kununua tafadhali naomba unisaidie kwa kunipa location ama namba za wahusika...
 
Fika Hapo Mlimani Mall, Benjamin Mkapa towers, Uchumi supamaket pugu rd.. Foneshack!!
na Kwa Mwanza hoteli Mwz!!
Bilulu II
 
Last edited by a moderator:
wadau mambo VP?? Kwa anaejua mahali ghani naweza pata GPS ya kununua tadadhal naomba unasaidie kwa kinipa location ama namba za wahusika...

Kama upo dar nenda Radiowave communication ltd karibu na best bite namanga.
 
Atokee mtu anayeweza kutumia smart phone gps atoe maelekezo maana hata mm napata sana tabu kupima mashamba.
 
Install GPS STATUS AP
Halafu apps za GPS zipo nyingi sana online ushindwe wewe tu. Kama una pesa wapelekee tu maana tumechoka
 
Kuna app ya blackberyy ambayo inaweza kupima eneo??
 
Mkuu GPS za accuracy gani unataka?

Labda tujuze unatakla kupima nini
 
Back
Top Bottom