Mahakama yatupa pingamizi kesi ya kina Sabaya

Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Jaji Salma Maghimbi ambaye anasikiliza shauri hilo, baada ya jana kusikiliza hoja za pande zote mbili. Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.
Wamasai hawajenda kulia mahakani tena?
 
Kwanza, ile hukumu ya awali kwenye mahakama ya mkoa itatekelezwa.

Pili, Kuna uwezekano kifungo alichofungwa kikaongezwa na mahakama ya kuu ya Tanzania

Tatu, Sabaya anaouwezo wa kukata rufaa kwenye mahakama ya mwisho Yani Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.

Nne, iwapo mahakama ya Rufaa itampata ana hatia Basi Sabaya ana nafasi ya mwisho ya kuomba Revision kwenye mahakama ya Rufaa Tanzania. Hiyo ndio mwisho.

Tano, iwapo revision ya mahakama ya Rufaa itakuta hukumu ilikuwa sahihi, Basi Sabaya itabidi asibili msamaha wanrais presidential pardon.
Ubarikiwe mkuu, ninatamani kipengele cha kwanza na cha pili kimkute na mungu asaidie kitimie.
 
Sasaaa asee zamani nilisema wacha anyooke lakini sasa naanza kumuonea huruma,maana amenyooka hadi kapinda tena.kweli dunia ni tambala bovu.
Kama ana uwezo wa kurudisha sikio la yule mama aliyemkata, maumivu ya mtoto aliyempigilia misumari, pesa alizowapora watu, na kuurudisha ndani mwake uchafu alioutoa wakati anabaka, akiri kosa na kuahidi atayafanya hayo yote. Kisha akae jela japo miaka 5, halafu asamehewe.
 
Kama ana uwezo wa kurudisha sikio la yule mama aliyemkata, maumivu ya mtoto aliyempigilia misumari, pesa alizowapora watu, na kuurudisha ndani mwake uchafu alioutoa wakati anabaka, akiri kosa na kuahidi atayafanya hayo yote. Kisha akae jela japo miaka 5, halafu asamehewe.
alivamia hoteli alipolala NANDY
 
kuna mzee wa CDM alikuwa anakaliswa kwenye mbao la misumari ya nchi mbili, matako yote yamelowa damu dadadeq....anakaa afu anasimama misumari inachoma inachomoka....

dogo msengeee.....
sikuwahi kuisikia hii mkuu, duh
 
Back
Top Bottom