KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
Ni upepo tu.
kwani alikamatwa?
Ni baada ya DPP kuwasilishA HATI ya nia ya kutoendelea na kesi hiyo chini ya kifungu 98 cha sheria ya uendeshaji mashtaka ya jinai.
Yupi huyo, manake watuhumiwa walikuwa wengi!
Tangia kamanda Kova alivyoonekana kwenye TV akilielezea hili suala, hata wale wasiokuwa na utaalamu na mambo ya sikolojia waliona kuwa kuna uongo wa wazi unaendelea.Vituko vya hii nchi havishi,mambo kama haya ndio yanasabababisha watu wazidi kuishiwa Imani kwa hii serikali, maana haiwezekani mtu alitekwa akapigwa na hakuna mtu yeyote aliyekamatwa yaani haya mambo ya kijinga kabisa....wanaharibu hata maana ya neno serikali...
kwani alikamatwa?
Ni baada ya DPP kuwasilishA HATI ya nia ya kutoendelea na kesi hiyo chini ya kifungu 98 cha sheria ya uendeshaji mashtaka ya jinai.
Ni baada ya DPP kuwasilishA HATI ya nia ya kutoendelea na kesi hiyo chini ya kifungu 98 cha sheria ya uendeshaji mashtaka ya jinai.
Ni yule Mkenya wa Kova?
Ajabu ni kuwa aliyepigwa mwenyewe bado hajahojiwa na Polisi. Hivi sasa sio vichekesho bali ni vilio. Hapo hata mtoto mdogo anajua nani kahusika na ukatili huo.
Mwaka 2016 tutashuhudia makubwa sana katika mahakama zetu maana makosa ya jinai hayana muda wa ku expire, tumeona wafuasi wa Hitler wanapelekwa mahakamani baada ya miaka 50 kupita itakuwa haya ya Ulimboka na wengineo?
Hii ni habari mbaya kwa Kibanda...Namchukia Kibanda kwasababu ya kutowatendea haki watanzania, aliporudi alisema kuwa hatawataja wahusika wa tukio lake mapema. Mpaka sasa sijui nini kinaendelea.
Napata wasiwasi na kuwaza labda ata ulimboka kapewa rushwa apige kimya! Noma sana Hii ndi Tz na pesa haramu