Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,538
DPP sasa hivi kabanwa kweli......mana alikuwa ameweka sheria pembeni...ujinga mbele na ushabiki mbele....its too late
Ofisi yake ni moja kati ya ofisi zinazothibitisha udhaifu wa serikali ya ccm!
DPP sasa hivi kabanwa kweli......mana alikuwa ameweka sheria pembeni...ujinga mbele na ushabiki mbele....its too late
Mkuu, hadi leo tunaomboleza mwanaHALISI wamegoma kulifungulia, shauri ya kumtaja huyu bwana.Usiogope woga Mkuu!!
......Ni kweli mkuu angalia kesi zao za ajabu ajabu za ugaid...zote zimefutwa......angalia kesi ya UDA wameichakachua maksudi.....ile kitu ya ofisi ya msajili wa vyama inabidi ipite na huku....Ofisi yake ni moja kati ya ofisi zinazothibitisha udhaifu wa serikali ya ccm!
watanzania na hasa hapa jamiiforums ni kama mazuzu wakati mwingine.si mlikuwa mnasema aliyemtesa ulimboka hajakamatwa yule ofisa wa ikulu? sasa mlitaka huyu mkenya wa watu ashikiliwe daima kwa kuonewa?? shiiit.ni kama na huyu kibanda ameshindwa kuwataja sasanaojua wamemdhuru,sasa anaanza kuokoteza akina ludovick.nchi hii ni zaidi ya uijuavyo
Mkuu, hadi leo tunaomboleza mwanaHALISI wamegoma kulifungulia, shauri ya kumtaja huyu bwana.
kwani alikamatwa?
Ni kweli kabisa mkuu,Ubalozi wa Kenya umsaidie raia wake kupata fidia maana ameteseka na kudhalilishwa sana..Hii itakuwa fundisho kwa ofisi ya DPP!
ddp!!??
kwani Uli mwenyewe c yupo?hp now ni wakati muafaka kwake kufunguka ili atueleze yaliiyo chini ya kapeti.