VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,356
Am not going to pay a f@$%&*@#g dime!
Funny thing is hata hawatakuuliza wakati wa kulipa... watalipa even without saying anything..... ila makali yake utayafeel for a very long time after.
Am not going to pay a f@$%&*@#g dime!
Funny thing is hata hawatakuuliza wakati wa kulipa... watalipa even without saying anything..... ila makali yake utayafeel for a very long time after.
c.v please and show how they are related with c.jHii story inadhihirisha wazi kuwa Serikali ya Tanzania kumbe ina kila sababu ya kutowalipa Dowans. Tatizo ninaliona mimi ni kuwa Othman wa Usalama wa Taifa anaweza kumuagiza mdogo wake Othman Chande Jaji Mkuu amalize issue na mahakama kuu waruhusu Dowans walipwe fasta.
Mkuu, kifungu hicho hakiwezi kuwepo kwenye ICC rules maana zenyewe ni general na si particular kwa hiyo haziwezi kuzungumzia sheria za nchi yeyote. Naomba utueleze ni kifungu gani kifungu hicho kinapatikana?
Amandla.....
Mkuu, naona hatupitii kwa umakini attachments tulizoletewa hapa na wadau mbali mbali k.m Invisible na Mwanakijiji. Hebu cheki hii sehemu tu ya Commencement of Arbitration na terms of settlement iliyotumika kwenye uamuzi huu tunaouongelea. Angalia kifungu 14.1 (b) hapa chini.
Mkuu Mjengwa-Halifa. Nadhani Court inayozungumziwa hapa ni International COURT of Arbitration ambayo ni sehemu huru ya International Chamber of Commerce. Arbitrators wakishafikia maamuzi yao wanayapeleka kwa hawa jamaa ambao wanayapitia kama yanaendana na regulations zao (form). Court hii haina mamlaka ya kubadilisha "substance" ya uamuzi wa arbitrators lakini wanaweza kuwarudishia kama hawaridhiki na ilivyokuwa formulated.Lakini kuna upande wa tatu ambao umejificha kidogo. Upande huo ni mahakama yetu. "Article 27 Scrutiny of the award by the court" inasema mambo kadhaa na kumalizia "No award shall be rendered by the Arbitral Tribunal untill it has been approved by the Court as to its form".
Sasa mimi hapa nimetoka kapa katika kung'amua, nini inamaanisha hasa mnaweza kusaidia. Lakini naona kama kuna kanafasi kwa mahakama yetu kusaidia au ilikuwa na uwezo wa kusaidia. Katika hili la mahakama yetu na uwezo wake kisheria katika suala hili zima angalia majibu ya AG Werema aliyoyatoa wakati anajibu maswali yamwandishi wa gazeti la mwananchi "Mimi kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali nimeisoma hukumu hiyo kwa makini na nimeridhika nayo kuwa iko sawa," alisema Jaji Werema."
Mkuu Mjengwa-Halifa. Nadhani Court inayozungumziwa hapa ni International COURT of Arbitration ambayo ni sehemu huru ya International Chamber of Commerce. Arbitrators wakishafikia maamuzi yao wanayapeleka kwa hawa jamaa ambao wanayapitia kama yanaendana na regulations zao (form). Court hii haina mamlaka ya kubadilisha "substance" ya uamuzi wa arbitrators lakini wanaweza kuwarudishia kama hawaridhiki na ilivyokuwa formulated.
Baada ya hawa kuridhika, award inapelekwa kwenye secretariat ambayo ndiyo inayowajibika kuwafahamisha wahusika. Court yetu inahusika tu katika "ku-enforce award" na si kingine. Wao hawana mandate ya kurekebisha/kukataa form au substance ya award. Wanachoweza kufanya ni kukataa kui-enforce katika jurisdiction yake.
Hii, hata hivyo haina maana kuwa claimant anazuiwa kutafuta satisfaction sehemu nyingine kwa vile award inabaki kuwa live whether enforced or not. Wakifanya hivyo, tutaingia tena gharama kibao kwenda kutetea kwa nini asset zetu zisiwe attached. Watakaoshinda kwenye scenario hiyo ni wanasheria peke yao, hao hao waliotuingiza kwenye mkenge!
Nadhani AG ali-misspeak. Kuridhika au kutoridhika kwake hakuna nafasi hapa. Hata asingeridhika, hana recourse bali kukubali uamuzi wa arbitrators.
Amandla.....
Hii story inadhihirisha wazi kuwa Serikali ya Tanzania kumbe ina kila sababu ya kutowalipa Dowans. Tatizo ninaliona mimi ni kuwa Othman wa Usalama wa Taifa anaweza kumuagiza mdogo wake Othman Chande Jaji Mkuu amalize issue na mahakama kuu waruhusu Dowans walipwe fasta.
View attachment 19636
Rostam Aziz ..... huyu anastahili malipo ya fedha hizi 185b.... na siyo vingine
Hata hao Tanesco.. Hivi nani aliyewalazimisha kumkubali Dowans? Mkataba ulikuwa kati ya Richmond na Tanesco.. sasa leo Richmond wanakwambia kwamba hey huyu hapa Dowans hebu mchukue afanye kazi... Mbona TANESCO hawakuwauliza hao Richmond vipi mbona mkataba ulikuwa kati yetu iweje uniletee Dowans au kampuni nyingine ya Singapore wake kunizalishia umeme? Hivi hiki ndicho kilikuwa makaubaliano yetu? Mbona swali hili hatujui kama liliulizwa? na kama liliulizwa ya nini Tanesco hawakukataa there and then and mkataba uwa umevunjwa pale pale... Wao (Tanesco) wakajinyamazia kama Ma-***** fulani hivi na Dowans akakabidhiwa mfupa uliomshinda fisi... tangu lini Mbwa (MALIPO)akauweza?
kUHUSU hiyo registartion ya Award mbona inacheleweshwa sana kuandikishwa si wahusika waiandikishe basi (ASAP) ili tujue mbivu na mbichi kama tunalipa au la maana hii habari imebaki kuwa ya magazetini tu... na kuna msemo usema Justice delayed is justice denied.. yote yaanikwe ili tujue ukweli...
Na hata huko mahakamani wakipewa ki-note tu na executive brach kwamba hii kitu ni national interest tafuteni namna ya kulipa au kutolipa mahakama itatafuta tu njia maana majaji huwa ni watu mahiri katika kujau technicalities za mambo.. sidhani kama ruling ya watu wawili yaweza kutokukoselewa na jopo la majaji waliobobea kwa manufaa ya Tanzania... labda hao majaji wetu wasiwe na uchungu na mali za wananchi achalia mbani maliza serikali...
Mwisho kuna hapa panaposema kwamba "If TANESCO is forced to pay Dowans on the basis of the ICC ruling, just as it was forced to sign the Richmond/Dowans contract, this company will collapse." kwa nini wasiache ikolapse au wanajua wananchi wataingia barabarani na kumuondoa Kikwete madarakani maana ametajwa kuhusika na Dowans... si waache basi iko-lapse ili iujue namna ya kujikwamua na madeni?
Kichekesho kikubwa katika uamuzi wa DOWANS ni kuwa Msuluhishi alidai matendo ya watumishi wa Umma ya kukiuka sheria yanaweza kuhalalisha uvunjaji wa sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 jambo siyo kweli hata kidogo ...........................na akatumia sheria hiyo hiyo ya manunuzi kudai ya kuwa kwa vile Mamlaka ya manunuzi nchini yenye mamlaka ya kuchunguza ukikaji wa sheria hiyo ilikaa kimya basi walihalallisha ukiukwaji huo......wakati sheria zipo wazi....parties to a suit can not and should not be permitted to conspire to break the law..................Huu ndiyo msimamo wa Mahakama ya Rufaa ya hapa nchini na unatosha kutengua hiyo AWARD.
Msuluhishi alichoaamua ni kuwa conspiracy to break by various actors to a deal legalizes an otherwise illegal acts.............How absurd................It wa a preposterous AWARD......na jingine la kujiuliza kwa nini kila wakati migogoro ya Tanesco inakwenda kuamuliwa na msuluhishi yule yule ambaye maamuzi yake kila wakati yanatuachia maumivu makali?