Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

Watatoa maamuzi kesho muda ambao saa za kazi zimeisha na hakuna nafasi ya kukata rufaaa

Nauliza nini maana ya hati ya dharura??
 
I smell a rotten rat.
Hizi danadana sio za bure.... Nahisi wanataka wachakachue halafu watoe uamuzi at the 11th hour kusiwe na nafasi ya kukata rufaa!!!
I hope am wrong though.

I too hope you are wrong.But I believe that's what they are aiming at. Otherwise sioni mantiki ya hizi danadana. Mkuu wa nchi ameshasema na mahakama itatafsiri kulingana na matakwa ya Rais. Haziko impartial. Wanaogopa issue itabackfire kwa hiyo wanapoteza muda watoe hukumu kesho jioni in favor of Kikwete.
 
Ngoja aingie MAGUFULI watanyooka! haya mambo ya kuhairisha kesi kwenye mahakama zetu imekuwa ni mazoea.
 
Siku ya kura hakuna shughuli za kisiasa basihata jf inashauriwa isimame siku hiyo
 
Heko kibatala majaj wanaanikwa mbele ya umma wa watanzania na walimwengu jana VOA centre of discussion ilikuwa hiyo ya 200 meters kwamba huko nyuma haijawahi kuwa tatizo discusants wakawa wanajiuliza why now aibu kwa mahakama kuegemea chama tawala
 
Na sheria inasema ukae mita ngapi kabla hujapiga kura.. na hiyo mita mia mbili unatakiwa ufike kwa muda gani baada ya kupiga kura..... mfano mvua kubwa baada ya kura tukachukuwa hifadhi mita 20
 
Mahakama zetu hizi Bana wanasubiri ifike ijumaa maamuzi wanayoyajua wao yapitishwe .Jumamosi bila Shaka mahakama hazifanyi kazi
 
leo alhamisi mahakam kuu ya tanzania kanda ya dar es salaam imeahirisha kesi ya maamuzi ya kulinda kura mita 200 baada ya kupiga kura ya maamuzi. Kesi itaamuliwa tena kesho ijumaa tarehe 23 october



hii ni staili ya kesi ya sheikh ponda ; kesho utasikia majaji wameshikwa na mharo wameshindwa kuhudhuria mahakamani
 
Hata wasipotoa uamuzi mimi nimeshajiandaa


KUPIGA KURA.
KULINDA KURA.Nimetoka kupima kituo cha kupiga mitaa 200 ipo karibu kanisa ntakuwa kwenye maombi huku nalinda kura .
 
Ebu tusubiri kwanza labda wanaomba ushauri kwa majaji wenzao wa kenya, nigeria na hata south afrika kuona wao huwa wanatoaje hukumu kwenye kesi kama hizi.
 
Back
Top Bottom