Mahabusu wa UDSM kama Lema...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.

Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana kutokana na shinikizo la wanafunzi waliofanya maandamano jana na juzi chuoni hapo,wanatarajia kuandaliwa mkutano katika viwanja vya kimapinduzi chuoni hapo maarufu kama 'Revolutionary Square'.

Wanafunzi hao wanaitwa mashujaa wa Mlimani.Ni wazi kuwa Serikali imenywea kwa wanafunzi.Je,dhamana ya wanafunzi hao ndio mwisho wa madai ya wanafunzi wa UDSM?
 
WALINENA WENYE BUSARA""AKILI IKISHINDWA TUMIA NGUVU.hapo ndipo JK alipogundua AKILI YAKE IMECHOKA KAAMUA KUTUMIA FFU NA POLISI HATA SEHEMU YA KUTUMIA AKILI YA KITOTO TU.
 
Kisha akachanganya na akili za kumbiwa na kina Kova
 
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo.

Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana kutokana na shinikizo la wanafunzi waliofanya maandamano jana na juzi chuoni hapo,wanatarajia kuandaliwa mkutano katika viwanja vya kimapinduzi chuoni hapo maarufu kama 'Revolutionary Square'.

Wanafunzi hao wanaitwa mashujaa wa Mlimani.Ni wazi kuwa Serikali imenywea kwa wanafunzi.Je,dhamana ya wanafunzi hao ndio mwisho wa madai ya wanafunzi wa UDSM?

Kama serikali za wanadamu zikikutuhumu kuwa mwovu, Ufalme wa Mbinguni je? Cleanse your mind that you be sinless!!
 
Ingebidi nao wakatae dhamana ili wakacheki jinsi mahabusu za dar zilivyo,
 
Hahaha!umenikumbusha mbali.'leo kunakunji',nikisikia hivyo najichimbia mabibo hostel maana huko haifiki.hahaha
umenisikitisha sana bandugu yaani eti wewe unajiita mwanamapinduzi garimy dah serereti amoroho... daffi akhe unaogopa kweli wewe homoo.
 
Saa ya ukombozi wa taifa hili imekaribia. Vijana kazeni buti. Hii CCM imetutesa sana. Vijana ndiyo mtakaokomboa hii nchi
 
umenisikitisha sana bandugu yaani eti wewe unajiita mwanamapinduzi garimy dah serereti amoroho... daffi akhe unaogopa kweli wewe homoo.

Hahahaha!mchaga siyo kihivyo nilikuwa mstari wa mbele!but ikizidi unakula winga!a idoma!sayitaake?
 
Mambo sasa yamepoa kidogo.Isije ikawa kama Al-Shabaab kurudi nyuma kwa ajili ya kujipanga upya.Nafuatilia kwa makuni hapa.
 
Back
Top Bottom