kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
- Thread starter
- #61
Haaahaaa,kama kweli Vileeendio zao wabaguzi sana tena ukute ambaye ajasoma elimu dunia hiyo tv itakuwa n shida habari zao zitakuwa n pwani,zanzibar na tanga
Haaahaaa,kama kweli Vileeendio zao wabaguzi sana tena ukute ambaye ajasoma elimu dunia hiyo tv itakuwa n shida habari zao zitakuwa n pwani,zanzibar na tanga
kipindi cha karate sijui kama kitakosaIngeanza kwa kutujuza mabaya.. A yale ya kufyekana vichwa, kujitoa mhanga na ugaidi wa Boko haram, al shabaab and the like...
Naiwe mbele pia kukemea mapadri wanao lawiti watoto.!!!Iwe kifua mbele kukemea magaidi wanaochoma makanisa
tafuta mashoga wengi wanatokea wapiMapadri waliofikishwa mahakamani Tanzania kwa kulawiti ndani ya miaka 20 ni ngapi?
Huko ulaya munakoabudu wao mpaka siasa zao ni za kishoga kwakuwa zimeanzia kanisani.
Huna la kusema kuhusu ushoga na kanisa.
Wanaanzia kanisani,maajenti wakubwa ni maburuda(brothers)wa kizungu.tafuta mashoga wengi wanatokea wapi
ulitaka wavaeje wakati ni ya kiislamu?Mtapiga bonge fleva najua watangazaji watakuwa wanavaa kanzu tu mnasifika kwa ubaguzi
Nilimaanisha UJERUMANINdo wapi huko
Shukrani pia ndugu yanguYareti waTz wengi wawe na upeo kama wako !!!
Shukran kwa uelewa mwema...
Ila mafunzo ya kishoga ni sahihi!
Upumbavu ni mzigo,elimu si njia ya kuwa tajiri,bali ni ya kurahisisha kutatua changamoto za kimazingira,utajiri hauna nasaba na elimu,yeyote mwenye kutafuta kwa kufanya ama kazi au biashara kwa juhudi na kuheshimu mapato kwa kubana matumizi anaweza kuwa tajiri,PIMBI WEWE.
Vizuri kuelimisha na kuongozana katika njia iliyonyooka na kutunza maadili.....kwa jamii!!Shukrani pia ndugu yangu