Azam TV, mmeishia wapi kurusha matangazo kwa 4G?

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
833
1,309
Nakumbuka Kuna siku Azam walimualika raisi Samia kuzindua kurusha matangazo ya Azam TV Kwa kutumia 4G ila Baada ya pale Kila kitu Kiliishia pale pale.

Au Mimi ndio nilikuwa sijaelewa maana wengine walienda mbali zaidi hadi kusema watu watakuwa wanaangalia Azam tv max bila ya bando.
 
Hahahahahah.....mkuu kuna mtu alikwambia utatumia Azam Max pasipo kuwa na internet bundle? 😁😁😁😁😁, huyo alikudanganya...

Iko hivi mkuu, alichozindua Azam ni minara kwa ajili ya urushaji matangazo yake ya televisheni na redio ya kidijitali kwa njia ya mawimbi ya juu ya nchi....

Yaani utakuwa unatumia antena badala ya dish kupata sauti na picha nzuri za HD kwa kuwa na antena ya nje au ndani...

Pamoja ya kwamba kulikuwa na ujenzi wa minara kama ya simu, ule haukuwa uzinduzi wa 4G, kwa sababu 4G ni mawasiliano yanayohusu simu za mkononi (data + voice)...
 
Hahahahahah.....mkuu kuna mtu alikwambia utatumia Azam Max pasipo kuwa na internet bundle? , huyo alikudanganya...

Iko hivi mkuu, alichozindua Azam ni minara kwa ajili ya urushaji matangazo yake ya televisheni na redio ya kidijitali kwa njia ya mawimbi ya juu ya nchi....

Yaani utakuwa unatumia antena badala ya dish kupata sauti na picha nzuri za HD kwa kuwa na antena ya nje au ndani...

Pamoja ya kwamba kulikuwa na ujenzi wa minara kama ya simu, ule haukuwa uzinduzi wa 4G, kwa sababu 4G ni mawasiliano yanayohusu simu za mkononi (data + voice)...
Nimekusoma mkuu
 
Nakumbuka Kuna siku Azam walimualika raisi Samia kuzindua kurusha matangazo ya Azam TV Kwa kutumia 4G ila Baada ya pale Kila kitu Kiliishia pale pale.

Au Mimi ndio nilikuwa sijaelewa maana wengine walienda mbali zaidi hadi kusema watu watakuwa wanaangalia Azam tv max bila ya bando.
Unamaanisha 4G au HD?
 
Back
Top Bottom