Magwanda ya CCM, Ndugai hakuyaona?

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,020
Katika mdahalo kati ya Mh.Ndugai na Mh Tundu Lisu uliorushwa live katika kituo cha Star TV, Ndugai alisema kuwa CHADEMA wanavaa magwanda kama mgambo kuitisha serikali.

Je hakuona haya magwanda ya chama chake CCM?
267301_190972474296001_187249878001594_517085_7258690_n.jpg

Ndugai IQ = 0 So tumsamehe bure, ni shabiki nambar one wa gamba ndio maana ukisema chochote against gamba huwa anapagawa kabisa, kama speaker.

Katika mdahalo kati ya Mh.Ndugai na Mh Tundu Lisu uliorushwa live katika kituo cha Star TV, Ndugai alisema kuwa CHADEMA wanavaa magwanda kama mgambo kuitisha serikali.

Je hakuona haya magwanda ya chama chake CCM???

Mkuu haziitwi Magwanda hizo. Huwa tunaziita yebo yebo. Magwanda yanavaliwa na jamii yenye dira ya kweli ya kuuleta ukombozi wa nchi hii. Ukombozi ambao utawafanya watanzania kujivunia nchi yao.

Yani kati ya magamba ambalo silipendi lile lijamaa silipendi kabisa! Yani jitu zima lakn ziro kabisa lindungai hivi likole lile zee? Mi hadi napata hasira sasa silitaki kabisa lile lijamaa bwege2

Back
Top Bottom