Magufuli ukiyaweza haya nitaanza kujenga imani na wewe

tity

Member
Oct 16, 2015
44
15
1. Futa matumizi ya mashangingi kwa wabunge na watumishi wa uma wote

2. Futa posho zote za maudhurio ya wabunge(sitting allowances)

3. Futa posho zote za vikao kwa watumishi wa uma

4. Ondoa msamaa wa kodi za magari kwa wabunge

5. Kila kiongozi aweke wazi mali zake zote n madeni ili wananchi tujue

6. Mikataba yote inayolihusu taifa iwekwe wazi ili wananchi tuhoji..(mipya pamoja na ya zamani)

7. IAMURU ZEC IMTANGAZE MSHINDI MARA MOJA.

8. Malipo na misamaha ya kodi kwa makampuni vyote viwe wazi ili tujue yupi kalipa na yupi kasamehewa na kwa sababu gani...

9. Punguza mshahara wa rais ($180,000 kwa mwezi) ni nyingi sana..
 
Hiyo number 7 inatakiwa ianze mara moja!
 
Mheshimiwa Rais, mimi roho huwa inaniuma sana kwa wabunge wasiohudhuria vikao lakini wanalipwa. Nina maana ya kuwa wengi wanafika ku-sign posho halafu wanaondoka. Matokeo yake maamuzi mengi huwa yanapitishwa bila wabunge wengi kujua kilichojadiliwa. naomba uweke utaratibu utakaowezesha wabunge wasioingia bungeni muda wote wasilipwe kabisa posho siku hiyo. ASANTE RAISI WANGU MCHAPAKAZI.
 
10. Arudishe vyama vya ushirika na kufufua RTC zote za kila Mkoa,
11. Magara yote ya serikali aliyopewa AZAM Barhesa yarudishwe kwani yako kwenye vyanzo vya reli, ambapo ni rahisi kupakia na kupakua vyakula kwa ajiri ya wananchi.
 
Vtu vingne tuwe critical yeye namba 7 hana maamzi ya mojakwa moja lkn anaweza kuwa msuluhishi..
 
hapo kwenye kuamuru aliyeshinda Zanzibar atangazwe halaka na kurudisha nyumba za serikali zilizouzwa kwa bei rahisi ni bora mtoe roho
 
Back
Top Bottom