marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Ccm ni chaka la wapiga dili,ufisadi kila kukicha,unga,meno ya tembo,10%,hovyo kabisaaa
CCM imerudishwa kwa wazalendo na wanyonge walioijenga.
CCM imeondolewa kwenye makucha ya matajiri na mafisadi na sasa ccm ni wamoja kama mchwa.
Kama heading iliovyotangulia naona ushindi mkubwa sana katika uchaguzi huo,DHIDI YA VYAMA PINZANI TZ na sababu kubwa ni kwamba;
1. CCM inahazina kubwa ya washabiki lukuki wasomi,wataalamu wa siasa 'wazee,vijana wa kati wenye ajira za kudumu na wachache wasio na ajira rasmi ,wanao- ishi mijini na vijijini.
vyama pinzani vimeonyesha kukita mizizi mijini na hasa miji mikubwa.
2. CCM INA MATAWI NA WANACHAMA inchi nzima kuanzia kijijini hadi makao makuu wakati baadhii ya vyama hawana hata ofisi vijijini wala mijini na wapo dar tu na sehemu walikozaliwa tu.
3. CCM ina mikakati na mbinu za ushindi zinazochangiwa na hazina kubwa ya raslimali watu na mikwanja ya kutosha inayotoka na vitegauchumi vingi vya chama,huku vyama pinzani vikiwa havina hata magari ya kufanyyia kampeni na kuwafikia watu wengi vijijini na huku campain zao zikijikita zaidi kuing'oa CCM bila kujua wataing'aje
Na ww ukipenda ongeza yako;
by
Mawazo huru
heee kuna dili mliliacha liko katikati? amrudishe wa nini huyo, wapo vijana wengi sana ktk timu yake, muhongo si naye anatimu yake iliyoshindwa kufika popote?
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha kuwa Dk. Magufuli atakuwa Rais wa Tanzania. Pia ukiona kampeni ya CDM na Ukawa na team yao wanachanganyikiwa hata pale ukimwona mgombea wao anaweweseka na kusema maneno ya kutojiamini. Hizi ni dalili tosha mambo yao pamoja na jahazi lao yanaenda kombo.
Hapa CDM inatapatapa wameanza wote kuweweseka. Baba, Baba Magufuli "Hapa Kazi Tuu!"
Hilo halina ubishi hata wao wanajua kuwa hapa ni speed ya 10G na sio 4G tena.Magufuli rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.