oceanic
JF-Expert Member
- Aug 18, 2017
- 353
- 368
HAKUNA ATAKAYE THUBUTU, KEYBOARD HEROICS WOTEWewe binafsi unaamini maandamano yatakuwepo
Unataka yawepo?
Yakiwepo utashiriki?

HAKUNA ATAKAYE THUBUTU, KEYBOARD HEROICS WOTE
Mimi nasubiri tu "thread" yako ya "Nilisema hakuna wa kuandamana......." maana naona unaombea sana yasifanikiwe ili upate la kusemaHaya, tuone kama mtaandamana....
kwani mitandaoni wanaongea watu au vinyago?Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali.
Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.
Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.
2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?
Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.
Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.
Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.
Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.
Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.
Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
Mimi nasubiri tu "thread" yako ya "Nilisema hakuna wa kuandamana......." maana naona unaombea sana yasifanikiwe ili upate la kusema
Sasa kwa nini hamkuandamana 2015? 2016?
Naunga mkono hoja, tena sio tuu kachaguliwa kihalali, bali kwa kupitia tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi huru na wa haki.Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali..
Unajua wewe Bw/Bi/Bibi Nyani unakosea sana ukitoa uzi ukaanza tena kujibizana na comments za watu unauharibu kabisa uzi wako.Unachotakiwa kufanya ni kusoma comments zao tu na labda kujibu nadra sana kitu kinachohitaji maelezo,ufafanuzi nk.Samahani kama nimekukwaza ila ni katika kujenga.One can easily tell whom u are thru ur comments
Amechaguliwa na tume ya uchaguzi na sio wananchi, ccm 2015 haikushinda si Zanzibar si tanganyika.Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.
Huwezi kumlinganisha rais Magufuli na hao akina Mubarak au sijui Gadaffi. Majitu yaliyokaa kwenye madaraka miongo na miongo.
Rais Magufuli kachaguliwa kidemokrasia [hata kama wengine hawakukubaliana na matokeo].
Tena kachaguliwa kihalali.
Rais Magufuli hata miaka mitatu madarakani hajafukisha.
Sasa unapoandaa maandamano yenye lengo la kumpindua, jua hakuna kundi, taasisi, au yeyote yule mwenye akili timamu atakayekuunga mkono.
2020 siyo mbali kivile. Kwa nini usisubiri hadi wakati huo ili umtoe kupitia nguvu ya kura?
Okay, utasema kuwa labda CCM wataiba kura.
Sawa, kama wataiba kura kweli hapo ndipo itakuwa muda muafaka kabisa wa kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga yaliyotokea kwenye uchaguzi.
Hapo hata jumuiya ya kimataifa itakuwa na nafasi nzuri ya kukuunga mkono.
Lakini hii ya kupiga makelele mtandaoni na kushindana kumtukana mtu aliyechaguliwa kihalali haitofanikiwa kamwe.
Itaanzania na kuishia mtandaoni tu.
Hivyo shime wote msiompenda Magufuli. Pangeni mikakati mizuri. Acheni kupayuka na kulialia mitandaoni na mjipange ili 2020 ikifika mnamrudisha Chato huyo msiyempenda.
narrow thinking! akili ndogo hizi. kwamba kwa sababu amechaguliwa kidemocrasia baasi achwe afanye atakayo.kwamba kwa sababu hajamaliza miaka mitatu ndiyo atishe watu kama alivyofanya huko chato? shwaini zake wewe wewe uliona wapi kiongozi aliyechaguliwa kidemocrasia anayetaka aogopwe na waliomchagua? wewe kina polepole wanafanya mikutano nchi nzima huku wengine wapo ndani wewe unaleta ushoga hapa?Mikakati ya hao wanaopanga kuandamana ili hatimaye wamuondoe ikulu rais Magufuli ni mibovu sana.