TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
- Thread starter
- #81
Kwani mwaka 2000 Tume pia ilifuta uchaguzi na kuamua uchaguzi urudiwe na Mkapa akataa usirudiwe?
Sikiliza Majibu yake Kwa BBC, Kwanini anakataa Uchaguzi Usirudiwe, Ndio sababu zinazotolewa Leo Kuwa Uchaguzi haupaswi Kurudiwa. CCM waliokataa Uchaguzi Usirudiwe, (Kwa kuwa walitangazwa washindi) Pale Kikweli Ulipaswa Urudiwe, Leo Hii Wanang'ania Uchaguzi Urudiwe, Pale ambapo haupaswi Urudiwe. (sababu kubwa Ikiwa wakati huu wao wameshidwa wazi wazi) You can't have it both ways!