Magufuli na Ndugai wanavyoiishi ahadi ya Mussa Exodus 14:14 Bwana Mungu atawapigania Nanyi mtanyamaza Kimya

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,134
Tumeshuhudia wenyewe Hivi karibuni Serikali ikikiri imeshakopa sana sasa basi.

Na Wananchi wamejawa furaha baada ya Umeme wa Shujaa Magufuli kule Bwawani kwa Mwalimu Nyerere kutuondolea mgao mwaka huu wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa.

"Msiogope Mungu wa Mbinguni Atawapigania Nanyi Mtanyamaza Kimya"

Leo ni Njia ya Msalaba
 
Ungekaa kimya ingekusaidia sana kuficha "kitu flani"
Ndugai alikosa hekima na husara, alitaka kuonyesha" jeuri" kwa aliye madarakani!
Alijaa kiburi, jeuri na kujiona amefika juu kuliko hata aliyeko Madarakani!
Nchi ishauzwa tayari
Wewe shangaa tu
Pita dar haswaa kkoo au au center ya majiji makubwa uone watu wanavyoangusha MAGHOROFA kutokana na pesa za mikopo
Tena wengine wana jeuri wanavinja GHOROFA anajenga GHOROFA ili tu apate. UNDERGROUND FLOOR

sasa hivi ukitaka kutakatisha pesa za HALAMU fungua KITUO CHA MAFUTA(sheli)
Usione SHELI kama utitili
Elewa NCHI ishauzwa wewe KUBWA JINGA CHAWA
 
Magufuli uko naye sahivi? Msalimie ila sisi siyo wafu wenzio
 
Nchi ishauzwa tayari
Wewe shangaa tu
Pita dar haswaa kkoo au au center ya majiji makubwa uone watu wanavyoangusha MAGHOROFA kutokana na pesa za mikopo
Tena wengine wana jeuri wanavinja GHOROFA anajenga GHOROFA ili tu apate. UNDERGROUND FLOOR

sasa hivi ukitaka kutakatisha pesa za HALAMU fungua KITUO CHA MAFUTA(sheli)
Usione SHELI kama utitili
Elewa NCHI ishauzwa wewe KUBWA JINGA CHAWA
Na we umeuzwa?
 
Tumeshuhudia wenyewe Hivi karibuni Serikali ikikiri imeshakopa sana sasa basi.

Na Wananchi wamejawa furaha baada ya Umeme wa Shujaa Magufuli kule Bwawani kwa Mwalimu Nyerere kutuondolea mgao mwaka huu wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa.

"Msiogope Mungu wa Mbinguni Atawapigania Nanyi Mtanyamaza Kimya"

Leo ni Njia ya Msalaba
Huo mradi wavumeme anaujenga kaburini? Ficha upumbavu bwana mdogo, yule alishakufa mradi umejengwa na mama.
 
Ungekaa kimya ingekusaidia sana kuficha "kitu flani"
Ndugai alikosa hekima na husara, alitaka kuonyesha" jeuri" kwa aliye madarakani!
Alijaa kiburi, jeuri na kujiona amefika juu kuliko hata aliyeko Madarakani!
Uoga wenu tu, ulikuwa.
 
Tumeshuhudia wenyewe Hivi karibuni Serikali ikikiri imeshakopa sana sasa basi.

Na Wananchi wamejawa furaha baada ya Umeme wa Shujaa Magufuli kule Bwawani kwa Mwalimu Nyerere kutuondolea mgao mwaka huu wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa.

"Msiogope Mungu wa Mbinguni Atawapigania Nanyi Mtanyamaza Kimya"

Leo ni Njia ya Msalaba
Yote haya mapungufu yamesababishwa na Magufuri,Ndugai,Mahera na Biswalo.
 
Tumeshuhudia wenyewe Hivi karibuni Serikali ikikiri imeshakopa sana sasa basi.

Na Wananchi wamejawa furaha baada ya Umeme wa Shujaa Magufuli kule Bwawani kwa Mwalimu Nyerere kutuondolea mgao mwaka huu wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa.

"Msiogope Mungu wa Mbinguni Atawapigania Nanyi Mtanyamaza Kimya"

Leo ni Njia ya Msalaba

Nitakwenda Ibada
 
Pamoja sana. JPM alikuwa jembe kweli kweli, mzalendo kweli kweli na shujaa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom