Magufuli kaza uzi mwanangu!! Kupambana na mafisadi si mchezo tunakuaminia!!!

chobu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
308
26
Mheshimiwa magufuli kwa kweli umeonesha ni namna gani unaweza kuponya vidonda vya watanzania. Ninapokumbuka ule mchaka-mchaka wa magari ya umma watu walikuwa wameyaweka uwani na kuandika majina yao!!! Sina wasiwasi na wewe mwanangu; nakujua wewe huogopi! Hutishwi! Wewe unachojua ni kuchapa kazi kwa kufuata taratibu na sheria za nchi. Big up!!!!!!!!!!!!!!!!hakika wewe ni nyota na utaweza kurudisha imani ya watanzania kwa chama chao cha ccm.
 
Na uzi kaza kweli2,maana siyo mchezo hao mafisadi.wasije wakakuchakachua.................
 
Back
Top Bottom