Waziri Magufuli apata PhD

Dr Hosea ana PhD kutoka Chuo Kikuu cha Dsm, LLM kutoka Queen's University, Canada, LLB from UDSM.He is an advocate of a Tanzania Bar. Ameandika articles nyingi tu za kisheria
 
Kwani muda mrefu ni masaa mangapi mpaka mtu ashindwe kufanya kazi zake ofisini??

Ndio maana inafaa kuwa specific na vitu kama hivi. Inawezekana mtu unamuona kila siku akija hapo kwa dk.tano tu na kuondoka ukasema muda mrefu. how muda mrefu is mrefu? Any way tuache kurumbana but I just meant to tell the concerned poster of that to be more clear so that readers should not be mislead.
 
Magufuli amekuwa mwanafunzi wa Phd hapo chemistry kama kamaliza nampa hongera kwa kweli kutoka kuwa mwalimu sengerema secondary kwa kweli anahitaji pongezi ameonyesha kuwa ni hardworker na yuko serious kwa kweli
 
magufuli ni mmoja wa mifano ya watanzania wachache waliotokea chini na kufika viwango vya juu kabisa vya elimu,namkumbuka mwingine ni dk mshindo msolla wa sua,aliaza kama mwalimu wa shule ya msingi akajiendeleza hadi hapo alipofika
 
Magufuli amekuwa mwanafunzi wa Phd hapo chemistry kama kamaliza nampa hongera kwa kweli kutoka kuwa mwalimu sengerema secondary kwa kweli anahitaji pongezi ameonyesha kuwa ni hardworker na yuko serious kwa kweli
Amefanya kazi kubwa
 
Hivi wewe semenya ni mwanamke au mwanaume? Kuna maswali bado yanatatiza uma wa dunia. Just curious and would like to hear from wewe mwenyewe.

she/he ( i dont know) anaona noma kujibu.!.
 
Semenya
user_online.gif

Semenya has no status.
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Sat Sep 2009
Posts: 60
Thanks: 34
Thanked 14 Times in 13 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: Magufuli kapata Phd?

Quote:


Magufuli amekuwa anafanya phD pale Mlimani kwa muda mrefu....it must have been from around 2006/2007 academic year.Kuna wakati fulani nilikuwa nafuatilia transcripts zangu pale Mlimani na kukutana nae akifanya utaratibu wa ada pale chuoni....nilishangaa maana katika hali ya kawaida unategemea angefanyiwa hayo malipo na mtu kwa niaba yake.

Rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia akiwa waziri wa miundo mbinu alikuwa anafika sana pale chuo na nadhani alikuwa na marafiki wengi pale chemistry department maana alikuwa anakaa pale nje ya department na kuongea na wazee wa pale chemistry kwa muda mrefu sana.





acha majungu mkuu



@ Semenya............MAJUNGU YAKO WAPI HAPO?
 
Kama kweli MAGUFULI kamaliza PhD yake aliokuwa anaisomea pale UDSM, nampa hongera. "Ebwana sisi tupo njiani, Mungu akijaalia tutapata nasi, Hongera sana mheshimwa".
 
main.jpg
RIDING IN STYLE: Kindergarten toddlers are transported home after class in Yombo Vituka, Dar es Salaam yesterday.


Hizi ndio Phd fake za Wabongo zinakotupeleka
 
Woow, great achievement Dr!

Unastahili, na may it add to your ready great perfomance!
Labda wanaokuzibia wataanza kukupa stahili yako!
 
msomi wa kweli utamjua tu hata anavyoshughulikia vitu utaona hichi ni kichwa na wala sio MaPhd's ya kununua ya mawaziri wenzie

hongera sana J Pombe Magufuli
 
safi sana, sio hizi za misaada kama Dr kikwete, Dr karume, Dr mkapa, Dr makamba, Dr sophia simba!! safi mkubwa
 
Congrats DR. JOHN POMBE MAGUFULI.

Wazee hii ni PhD ya ukweli, siyo zile za kugushi, za internet wala za akina Karume, Kikwete n.k.

Piga kazi baba, hata kama wanaendelea kukuhujumu...
 
He is a teacher by profession and already had a MSc degree in Chemistry! He is a real scientist and good thinker!
 
Tanzania ni mwanachama wa Commonwealth, lakini ameamua kukomaa hapohapo mlimani! Hajasoma Commonwealth Open University kama wenzake!!
HONGERA SANA J.P.MAGUFULI kwa uzalendo wako!!
 
Back
Top Bottom