Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Big no. Jpm alikuwa hajuai Cha kufanya akiwa ikulu. Yeye mwenyewe alikuwa anashangaa imekuwaje akawa rais. Mpaka Sasa angekuwepo uasi nchi ingekuwa kama DRC. Kungetokea vikundi vingi vya waasi na jeshi lingegawanyika sana. Kuna wanajeshi wanapenda vyama vya upinzani hususani chadema
Ni nadharia zako,

Ni makosa kusema kwamba alikuwa hajui anachokifanya kwa sababu kila Raisi anayeingia Madarakani anajua anachokifanya ndio maana Ilani ipo pale kama Dira yake.
 
Vyeti mpo humu mitandaoni mmejaa mlitumbuliwa 13000 na Magufuli mnahasira nae
Halafu hakufanya replacement. We huwezi kuwa na akili tu kwamba ilikuwa mbinu za kupunguza wafanyakazi tu. Nchi haikuwa na mweche Cheri hewa hata mmoja ndo mana mama kawarudisha
 
Una ushahidi kuwa Magufuli anahusikaje na hawa watu halafu ndio watu pekee waliokufa kipindi cha Magufuli na marais wengine kila wakati kutupostia hawa watu utafikiri watanzania wengine waliokufa sio binadamu
Nilicheka juzi kuna mjinga mmoja anasema enzi za JK na Mwinyi kulikuwa hakuna mauaji 😃 😃 😃 😃

Nikamkumbusha kifo cha mwandishi Mwangosi(RIP) na kutekwa na kuteswa kwa DR Ulimboka enzi za JK

Nikamkumbusha tena mauaji ya Mapadri Zanzibar na uchomaji wa makanisa enzi za Mwinyi

Mwisho nikamsihi asiwe msahaulifu ana asiwe mtu wa mrengo anapokuwa anadadavua mambo.
 
Hakujitolea, alikuwa analipwa na kuhudumiwa vizuri sana kwa kodi za raia.
 
Makosa gani hayo yalifanyika
Tulikuwa tunaongozwa na mtu anayejua uchumi kila siku. Kuua uchumi no pamoja na kuwakimbiza wawekezaji wakubwa na kunakiza machinga ambaye halipo Kodi. Kosa linguine kubwa na kuvamia na kuiba pesa kwenye personal accounts bank ndo mana vyuma vilianza kukaza kila mtu analia
 
Back
Top Bottom