Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Acha ujinga alijitolea kwa familia yake na ndgu na marafiki.
Najua ningumu sana kuelewa, lakini ipo siku utakuja kunielewa.

Kama ulishawai kufanya kazi kwa Wahindi, basi huu mfano utauelewa. Wahindi wanapenda kucheza na Saikolojia ya Wafanyakazi wao haswa Rangi nyeusi. Wanapenda sana kuwambia wafanyakazi wao hamna akili na hamna mnachokifanya hapa kazini still mikataba yao ikiisha wana waongezea mingine. Kamwe usitegemee ufanye kazi vizuri Mhindi aje appreciate na kusema leo umepiga kazi vizuri Never.

Anachofanya anakuondolea mentality ya kujiamini na ujione wewe si kitu mbele yake, na wewe bila yeye hauwezi ku-survive hili wewe uendelee kumfanyia kazi zake na kumtumikia but in reality wewe ni bonge la Genious na moyoni hana anatambua thamani yako hapo kazini kwake.

Ndivyo Waafrika tulivyoaminishwa na Wazungu kwamba sisi ni Maskini, lakini Ukweli wanaujua kwamba Afrika ni bara lilobarikiwa sana kwenye Rasilimali zote.

Kwa hiyo Magufuli ni sahihi kusema kwamba sisi ni Matajiri bali kuna viongozi wachache wanaotumika na nchi zilizoendelea hili kutufanya Maskini.​
 
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.

Your life was a blessing, your memory a treasure🙏

View attachment 2618627

Ataendelea kuishi milele. Fikra zake ambazo ni chachu ya mageuzi ya kweli ya Tanzania na Afrika kwa ujumla zitaendelea kuishi.

Kwa sasa kizazi hiki kilicho kombo hakita muelewa, lakini kuna kizazi kijacho kitamuelewa kana kwamba anaishi nao wakati mmoja.
 
Mageuzi ya kijinga.
 
Najua ningumu sana kuelewa, lakini ipo siku utakuja kunielewa.

Kama ulishawai kufanya kazi kwa Wahindi, basi huu mfano utauelewa. Wahindi wanapenda kucheza na Saikolojia ya Wafanyakazi wao haswa Rangi nyeusi...​

Mkuu kitu ninachokuomba ni kwamba, siyo kila uelewa ambao unao na ambao wewe unauona wa kawaida wengine pia wanao.

Common sense is not common to every body. Hapo unachofanya kwa huyo Covax ni sawa na kumvalisha nguruwe kito cha thamani puani.

Akiona matope atagaagaa tu bila kujali thamani ya kipusa alichovishwa. Ndivyo ilivyo kwa aina hiyo ya watu.
 
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.

Your life was a blessing, your memory a treasure🙏

View attachment 2618627
Big no. Jpm alikuwa hajuai cha kufanya akiwa ikulu. Yeye mwenyewe alikuwa anashangaa imekuwaje akawa rais. Mpaka Sasa angekuwepo uasi nchi ingekuwa kama DRC.

Kungetokea vikundi vingi vya waasi na jeshi lingegawanyika sana. Kuna wanajeshi wanapenda vyama vya upinzani hususani chadema
 
Back
Top Bottom