DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
DSN rudia kusoma mkuu,hakuna mahali aliposema mh Mnyika na conflict of interest,labda kama unataka kuipandikiza au ni mtizamo wako usio sahihi,kwani Mnyika akikomaa sheria,kanuni na mfumo ukabadilishwa kwa maslahi ya watanzania wote wapi unaona kuna conflict of interest?au wewe nae ni mmoja wa sehemu ya matatizo ya watanzania?kwani alikuambia yeye anataka tenda au anataka kivuko kiendeshwe kwa tenda ili aje ampiganie ndugu yake?ina maana sheria hizo anaona kuna haja ya kuziboresha na sehemu pekee kwake yeye ni bungeni ulitaka amwambie jukwaani kisha sheria au kanuni zingerekebishwa,ku-promise kuwa watakutana bungeni ni sawa kabisa wala hakuna kilichoharibika maana huko ndiko anaweza kushikiza badiliko.ulitaka ahinikize badiliko kwetu wananchi?hapo ina maana tuandamane ambako nako mnatutafasiri vibaya,alichokiahidi Mh Mnyika cha kukutana bungeni ni kauli ya kawaida kabisa ambako mbunge anaweza akapaza sauti ikasikika,hakuna conflict of interest hapo.
Long live mh Mnyika!
Tayari umeshaside kwa kwa Mnyika hivyo kudhihilisha kuwa wewe ni fans wake hivyo chochote tutakachozungumza mimi na wewe itakuwa ni mtu na anaemtetea mpenzi wake kwa mtu ambae anazungumzia uhalisia.Kusingekuwa na Long live Mnyika ningetumia muda kubofya vitufe vya komputa ili tuelimishane.Hivyo kwa heri!!!!!!!!!!! jgoku au jinonu