RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,117
- 10,048
Tunaomba ujibu haya masuali endelee na mnakasha wako.Umeulizwa hivi na Nguruvi3.
aposema 'any form, una maana aina zote za mikutano, iwe ya ndani, nje au popote.
Hapa unatueleza mikutano hiyo isiwe jangwani, mahotelini au popote
Ukisema 'specific forms' una maana ipo iliyoruhusiwa(upekee) na iliyokatazwa.
Kwa mfano, ukikataza mkutano wa jangwani (wazi) hiyo ni specific.
Unaweza kuruhusu ya ndani (kama vikao vya kawaida) nayo ni specific
Kwa mantiki hiyo, any form zinazuia mkutano mkuu wa CCM pia.
Specific Form zinazuia mikutano kama ule wa Zitto na ACT pale Millenium tower au wa CCM kule Dodoma.
Sasa tufafanulie kwa dhana ya any form na Specific form unalenga kutueleza nini?
Na kwa muktadha wa kauli ya Magufuli na waziri mkuu, ni kipi kilikatazwa kati ya any form na specific form . Na Polisi wanafanyia kazi agizo lipi la any form au specific form?