Deus J. Kahangwa
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 189
- 122
- Thread starter
- #341
.Yaani na ujuaji wote Deus ameshindwa kujibu hoja za Nguruvi3..
mambo ya kujaibisha..siku nyingine ukitumwa JF kuleta porojo kataa
Hakuna hoja sijajibu. Nionyeshe!
.Yaani na ujuaji wote Deus ameshindwa kujibu hoja za Nguruvi3..
mambo ya kujaibisha..siku nyingine ukitumwa JF kuleta porojo kataa
Bonkers....Twisted...
..
RAIS JPM; Sitaki wanasiasa wanikwamishe kusimamia serikali yangu, hakuna shughuli za kisiasa hadi mwaka 2020, watu wafanye kazi tu! JESHI LA POLISI; Mikutano ya ndani ya Vyama, ya hadhara na makongamano - vimepigwa marufuku tangu leo! MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA; Kauli ya RAIS inatafsiriwa vibaya, Rais hajakataza shughuli za vyama vya siasa. WAKUU WA MIKOA; Siasa mkoani kwangu ni marufuku, wakajifunzie huko, tuonane mwaka 2020. KINANA; Tunaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM. BAVICHA; Safi sana, tutasafiri hadi Dodoma kusaidiana na Polisi kutekeleza agizo la RAIS, POLISI NA WAKUU WA MIKOA. POLISI; Sorry, sorry, mikutano ya kikatiba ya vyama inaendelea kama kawaida, iliyokatazwa ni ya hadhara na shughuli za kisiasa.
.This is a very stupid and very low defense! All the interpretations by Media and Opposition Politicians were correct. You can not give a vague statement and expect people to get into your head and read what you meant! Also, Direct politics is not a crimes in Tz. So, whether you ban direct or indirect politics, that is infringement of the Human Rights stipulated by both the URT Constitution and International Treaties in which Tz is a State Party! I repeat, this is too low, you could better go and cook makande rather than coming here with such a horrible defense!
See you in Dodoma on 23rd July...hahaha!#Bigotry.
Misrepresentation and the fallacy of equivocation at work in terms of red text. Rais hakusema maneno hayo. Read my original thread again.
Please understand this...nowhere in my statement have I alluded as to who that dicteta uchwara is but you Deus J. Kahangwa appears to know who fits that description, bravo! I must admit you are getting too good at sensory perception better known as telepathy or in a layman's language, mind reading.
Mtoto wako akibahatika kufika chuo kikuu atakukana wewe.Safi sana. Mtu akiandika kitu kizuri lazima kitumike hata kufundishia watoto wetu vyuoni
Wewe ndiye unayefanya misrepresentation ya mambo.
Misrepresentation and the fallacy of equivocation at work in terms of red text. Rais hakusema maneno hayo. Read my original thread again.
Nyumbus in action.Poor justifications!
Nafikiri huyu Kahangwa anataka tu kuendeleza mjadala. Anapenda ku bisha tu ili watu waendeleze mjadala. Anataka attention. Na angekuwa hajaelewa angekaa kimya ila ameelewa na anataka tu kuona watu wanasenaje.Wewe ndiye unayefanya misrepresentation ya mambo
1. Rais amezungumzia 'marufuku' si katika mkutano mmoja.
Tueleze,ulimwelewa kwa kauli alizotoa katika mkutano gani kati ya aliyozungumzia.
2. Tukichukulia hoja ya hotuba ya viwanja vya Biafra ndiyo 'base' ya argument yako, bado hujamkariri vema. Alichosema ni kuwa '..uchaguzi umekwisha anataka kutekeleza aliyoahidi kwa wananchi. Kwamba, madiwani na wabunge waende wakazungumze kwa bidii katika maeneo yao'
Hapo alimaanisha hoja za kisiasa zipelekwe bungeni au kwa baraza la madiwani.
Kwa mtazamo wa baadhi, ni ujumbe makundi hayo yasifanye siasa nje ya maeneo yao
Hili ni baada ya wabunge wa upinzani kutaka mikutano kueleza nini kinaendelea bungeni.
Ikiwa ni hivyo, kuna ukiukwaji wa katiba na sheria za msajili wa vyama zinazotoa fursa kwa mtu kushiriki shughuli za kisiasa kwa kufuata taratibu zilizoanishwa
Pia kuna tatizo, wananchi wa kawaida wanaachwa nje ya mfumo wa kisiasa,unaogusa maisha yao kila dakika, saa na siku. Ukimsikiliza, aliomba jeshi la Polisi lisadie kazi hiyo
Kumbuka, ni jeshi la Polisi lililozuia mikutano bila sababu za maana kabla ya hapo.
Si kazi ya jeshi la Polisi kusimamia kipindu pindu, au magonjwa yasiyojulikana.
Jeshi la Polisi lina enforce sheria zilizopo na halipaswi ''kutunga sheria''
Kauli za magonjwa zinatolewa na wizara au idara husika na kuwa enforced na jeshi
Ikiwa afisa Afya, Daktari wa manispaa, mkoa au wizara hawajapiga marufuku mikusanyiko, jeshi la Polisi linapata nguvu kutoka wapi ku enforce kisichokuwepo?
Lini mazishi yamekuwa tukio la kisiasa hata kama linagusa wanasiasa?
Kwanini Mazishi ya Mwanza yalikuwa na matatizo, juzi kada wa CCM Arusha amezikwa kwa mkusanyiko kama ule wa Mwanza?
Na kama tukisema 'any form' ya mikutano, tuna maana hakuna shughuli za kisiasa.
Ikiwa ni hivyo, hii violation of human right kwa mujibu wa katiba ya nchi inapaswa kugusa jamii nzima na si sehemu ya jamii au makundi fulani
Ni vipi mahafali yenye hadhi za kipa imara,ndoa au harusi limekuwa tukio la kisiasa?
Na tukio la mahafali linakiuka sheria gani ya nchi kiasi cha jeshi kuingilia ili ku enforce
Kuruhusu CCM kuendelea na shughuli ni discriminations ambayo kikatiba imekatazwa.
Endapo ni specific form za mikutano, CCM wanaweza kuendelea na mkutano wao.
Hoja inakuwa, kwanini Zitto na ACT walikatazwa specific form pale millennium tower?
CCM hawafanyi mkutano kwa taratibu za usajili wa vyama.
Huu ni mkutano wa ziada katika kalenda yao, kwa maana kuwa siyo 'binding'
Wasipochagua mwenyekiti watakuwa hawajakiuka sheria yoyote ya vyama vya siasa.
Hivyo hoja kuwa ni kikao kinachozingatia sheria za usajili wa vyama ni misrepresentation!
Hoja inabaki , CCM wanafanya mkutano usio katika 'any forms au specific form'
Tunauliza, Polisi linawapa 'go ahead' kwa vigezo gani ambavyo wapinzani hawakukidhi.
Na Rais amepiga marufuku aina gani ya mikutano kati hizo mbili anazotetea Deus?
Are you trying to imply that insignificant has the same meaning as uchwara? Is this another one of your idiotic interpretations?Deus J. Kahangwa said:Thus, an insignificant dictator is dangerous than a full-fledged dictator (conclusion).
Have you ever been told that a gun in the hands of a novice is more dangerous than one in the hands of a professional?Deus J. Kahangwa said:This argument is nonsensical for two reasons: First, the major premise is self-contradictory in that it says an insignificant dictator is more dangerous than a full-fledged dictator. Even a kindergerten kid will laugh at this claim. And secondly, the minor premise is unsupported with facts. Thus, the conclusion does not follow from its premises. It falls flat.
Nguruvi3, Ametumia jina halisi ili ajulikane kirahisi.
Unataka na sisi tuuamini??
Iwapo kila mtu ana his/her own true justified belief??
Hata hivyo hiyo ni aina ya maisha ya huko kuzimu
Tatizo la huko kuzimu ni
1) unafiki na uoga vikisindikizwa na mama yao mkubwa umaskini alie zaa njaa ambae wajukuu zake ni uoga na unafiki
Kundi dogo la watu huko litatawala milele
Suluhisho ni katiba mpya hasa ile ya yule waziri mkuu wa zamani vinginevyo mtaishi vivyo hivyo miaka nenda rudi