Magufuli atashindwa uchaguzi wa mwaka 2020

Habari za wakati huu;

Kama kawaida kuna wengine wanweza kuona kama huu ni utani ila ndio ukweli:

Habari zisizikuwa na shaka na ambazo wengi hawaziamini wanasema kwamba Magufuliwa atang'olewa mwaka 2020.

Wanaoshiriki katika kamati hii ya fitina ya kumng;oa ni viongozi waandamizi wa zamani na wasasa pamoja wanasiasa nguli katika kambi ya upinzani na ndani ya chama tawala.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba kwa sasa wangeshafanya uamuzi ila wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.

Vile vile upo mkakati wa kumska mrithi wake ambaye mpaka sasa hajapatikana wa hakika ambaye ataleta figisu kama za Magufuli.

Mkakati huu unahusisha watu mashuhuri sana.

Jinsi atakavyotolewa.Itaanza kwenye kura za maoni ndani ya chama.Hawatasubiri aingie kwenye sanduku la kura na kwa hio kuna uwezekano kabisa Magufuli akawa rais wa Muhula mmoja.
Ubaya wa mitandao ni kwamba hujui mwandishi ni kweli Mtanzania ama ni mtu anayekijua kiswahili na kaamua kuwa member na kuleta uzi. Huyu mwandishi wa hii mada sidhani kama ni Mtanzania na anaijua CCM. Kama unataka ushangiliwe na wanaotaka kujiliwaza na jambo lisilo la kweli basi umewapata. Lakini kwa wenye akili timamu lazima watahoji kama kweli wewe ni mzima ama kichaa cha mbwa kimekupata........
 
Demokrasia ndani ya CCM ni pana sana - kujitokeza kwa makada kutafuta urais ni jambo la kawaida - na jambo la msingi ni kwamba CCM tunarudi pamoja baada ya kura za maoni
 
CCM ya sasa si kama ile ya zamani, hii ya sasa inaitwa CCM mpya, nina uhakika umejionea matendo yake ni tofauti sana na CCM zilizopita, CCM ya sasa inaamini katika ukuu wa dola, haiamini katika demokrasia, CCM ya sasa ukiikosoa hujipendi itakushughulikia, CCM ya sasa inaamini katika hisia za mwenyekiti wake, inaaamini katika sheria ambazo hazijaandikwa. Sasa Jiulize ni nani huyo ataishinda CCM mpya???
 
Habari za wakati huu;

Kama kawaida kuna wengine wanweza kuona kama huu ni utani ila ndio ukweli:

Habari zisizikuwa na shaka na ambazo wengi hawaziamini wanasema kwamba Magufuliwa atang'olewa mwaka 2020.

Wanaoshiriki katika kamati hii ya fitina ya kumng;oa ni viongozi waandamizi wa zamani na wasasa pamoja wanasiasa nguli katika kambi ya upinzani na ndani ya chama tawala.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba kwa sasa wangeshafanya uamuzi ila wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.

Vile vile upo mkakati wa kumska mrithi wake ambaye mpaka sasa hajapatikana wa hakika ambaye ataleta figisu kama za Magufuli.

Mkakati huu unahusisha watu mashuhuri sana.

Jinsi atakavyotolewa.Itaanza kwenye kura za maoni ndani ya chama.Hawatasubiri aingie kwenye sanduku la kura na kwa hio kuna uwezekano kabisa Magufuli akawa rais wa Muhula mmoja.
Hii mtaota na kuweweseka lakini haitatokea.
Angesema Pascal Mayalla ningeamini, maana ndiye aliyetutabiria ujio wa huyu ndugu yake. Wengine jinyamazieni tu.
Binadamu wa kumng'oa JPM madarakani kwa sasa hakuna. Vumilieni tu amalize muda wake kikatiba, including hiyo awamu yake ya pili 2020.
 
Back
Top Bottom