Magufuli asiwe anahutubia kitaifa/kimataifa, atoe tu maagizo

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Nashindwa kuelewa ni kwa nini kila Magufuli akihutubia ni lazima atoe kauli tata tena zilizokithiri! Hajawahi kuhutubia akatoka bila kutoa kauli tata iwe kuanzia akiwa waziri hadi sasa akiwa rais!

Kitu kingine inaonekana Magufuli hajui kabisa athari za kauli zake kama mkuu wa nchi! Kauli ya mkuu wa nchi inachukuliwa kwa uzito wake!

Wasiwasi wangu ni kuwa, siku akihutubia mikutano ya kimataifa itakuwaje? Maana sisi wa Tanzania tumezoea hayo hivyo tunaweza kupotezea! Wenzetu hawawezi kufanya hivyo!

Sasa ni wakati wa rais Magufuli kubaki tu ikulu na kutoa maagizo pamoja na usimamizi! Kwenye kuhutubia awaachie wataalam!
 
Sisi tumemkubali kama alivyo na tuko nyuma yake!
 
"Nimeamua kutoa hotuba yangu kutoka kichwani na sio hii ya kuandikiwa kwani hii ya kuandikiwa sio mawazo yangu bali ni mawazo ya aliyeandika"

NUKUU HII SIO RASMI LAKINI ILITOLEWA NA RAIS MAGUFULI TAR 4/2/2016 AKIONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA.
 
Sasa Kama hataki za kuandikiwa si awafukuze kazi hao watunzi wa barua zake ili kubana matumizi...
 
Alishasema hapendi kutoa scripted speeches because they don't reflect his true feelings. Haelewi na hayuko tayari kuelewa umuhimu wa scripted speeches, that happens when we have a know_it_all kinda President.
 
"Nimeamua kutoa hotuba yangu kutoka kichwani na sio hii ya kuandikiwa kwani hii ya kuandikiwa sio mawazo yangu bali ni mawazo ya aliyeandika"

NUKUU HII SIO RASMI LAKINI ILITOLEWA NA RAIS MAGUFULI TAR 4/2/2016 AKIONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA.

Sasa kama hakuihitaji aliibeba yanini hapo? Kuna mwandishi huandika hotuba bila kushauriana na mhusika? Swali ni je? Alikua na ulazima gani wa kuongea hayo?

Wapumbavu na maziro brain ndo mnafurahia hizi sifa za kijinga!!!
 
Nashindwa kuelewa ni kwa nini kila Magufuli akihutubia ni lazima atoe kauli tata tena zilizokithiri! Hajawahi kuhutubia akatoka bila kutoa kauli tata iwe kuanzia akiwa waziri hadi sasa akiwa rais!

Kitu kingine inaonekana Magufuli hajui kabisa athari za kauli zake kama mkuu wa nchi! Kauli ya mkuu wa nchi inachukuliwa kwa uzito wake!

Wasiwasi wangu ni kuwa, siku akihutubia mikutano ya kimataifa itakuwaje? Maana sisi wa Tanzania tumezoea hayo hivyo tunaweza kupotezea! Wenzetu hawawezi kufanya hivyo!

Sasa ni wakati wa rais Magufuli kubaki tu ikulu na kutoa maagizo pamoja na usimamizi! Kwenye kuhutubia awaachie wataalam!

Utahangaika sana mdogo wangu...kaa tulia acha Magufuli ainyooshe nchi...
 
Nashindwa kuelewa ni kwa nini kila Magufuli akihutubia ni lazima atoe kauli tata tena zilizokithiri! Hajawahi kuhutubia akatoka bila kutoa kauli tata iwe kuanzia akiwa waziri hadi sasa akiwa rais!

Kitu kingine inaonekana Magufuli hajui kabisa athari za kauli zake kama mkuu wa nchi! Kauli ya mkuu wa nchi inachukuliwa kwa uzito wake!

Wasiwasi wangu ni kuwa, siku akihutubia mikutano ya kimataifa itakuwaje? Maana sisi wa Tanzania tumezoea hayo hivyo tunaweza kupotezea! Wenzetu hawawezi kufanya hivyo!

Sasa ni wakati wa rais Magufuli kubaki tu ikulu na kutoa maagizo pamoja na usimamizi! Kwenye kuhutubia awaachie wataalam!
Mkuu hakika hata ilivyo kua katika sinagogi yesu alipoingia nakukuta nyumba ya mungu imegeuzwa jengo LA bihashara basi Kama alivyo waambia Yale maneno na kuvuruga zile meza na kuwafungulia ndege na wanyama waende zake basi ndivyo hivyo vivyo rais jpm amelazimika kutoa hotuba Kali kwani nchi yetu ilikua imegeuzwa jumba LA biashara sasa basis kama unaona anakosea basi mkuu najua wewe ni moja ya mnaotaka kuacha nchi iendelee kulanguliwa na bahadhi ya watu
Na kumbuka hauwezi uka peleka mbuzi kwenye banda la mbwa mwitu maana siomahala pake na ndio maana katika hotuba zake hawezi kusifia ujinga maana nisawa na sherehe ya bluzi uka cheza lege
Jpm na muelewa Sana Kama hotuba ya juzi aliona matatizo katika mahakama na haukona kitu ambacho asimame na kusifia ujinga
 
Ni muda wake Wa kuongoza nchi, viherehere kaen pemben msubili muda wake uishe
 
Nanukuu kauli yake; ''NDO RAHA YA KUWA RAIS HII BABA YANGU,'' niliipenda iyo kauli majuzi ktk ule mkutano na majaji na mahakimu,
 
Magufuli siasa yake ni sahihi,hapa kazi tu. Yaani kiongozi intelligent afanye kazi kwa discipline kuleta maendeleo ya haraka. Lakini anayemuiga,katika watendaji wake,naye pia lazima awe disciplined na intelligent. Lakini hapa kazi tu imetafsiriwa in an conceited,egotistic manner,ambapo zamani tulikuwa tunasema kiongozi anafanya kazi bila kuzingatia ibara ya 15 ya Mwongozo wa Chama.
 
Sasa kama hakuihitaji aliibeba yanini hapo? Kuna mwandishi huandika hotuba bila kushauriana na mhusika? Swali ni je? Alikua na ulazima gani wa kuongea hayo?

Wapumbavu na maziro brain ndo mnafurahia hizi sifa za kijinga!!!

Hawa cheerladys wa lumumba hawana cha maana wanachowaza. Kila kitu hata kama ni ujinga wanachekacheka.

Siku watashikwa kalio na Magu wataishia kumtukuza.
 
Back
Top Bottom