Magufuli apeleka Sh1bn Loliondo, apata kikombe cha babu

K
Hivi magufuri kitendo cha kwenda kupata kikombe kwa babu mwasapile kule samunge alipona au hakupona,nakama hakupona anatwambiaje kuhusu afya yake?
Kwani alikuwa anasumbuliwa na nini hadi akaenda kwa babu Loliondo?
 
Kitendo cha JPM kunywa kikombe cha babu kinahitaji research ya kina ili kujua akili za watu
 
f9da982b1239c6faaa29ba218eeebc7f.jpg
haaaaaaaa
 
Kama kuna watu walikufa baada ya hii hadaa inakuwaje au Albshir ndo ...
 
Hebu tukumbusheni watu mashuhuri waliokwenda kupata kikombe Loliondo.Tukumbusheni pia waziri wa afya wa kenya wakati huo Beth Mugo alisema nini kuhusu Babu wa Loliondo.Tukumbusheni kama taasisi zetu za utafiti wa maradhi ya binadamu kama vile kwa dada yetu aliyetaka kuwa Mh.Rais (NIMRI)au kwa Dr.Salim kule Bagamoyo waliongea lolote kuhusu dawa ya Babu al maaruf kikombe.Tukumbusheni pia kama Babu ameahidi tukio lingine la ajabu kama la kikombe.Wanahistoria mutakuwa mumehifadhi tukio la kikombe lisije likapotoshwa.....????Guiness book of world records walipelekewa hili tukio....watu wangapi walipoteza maisha.
75ad3136ed6e2a737758c90da2435a0d.jpg
 
Kwani alienda kwa ajili ya dawa au kutatua kero ya usafiri katika eneo hilo ? Tambua wanaotumia kikombe ni wagonjwa tu.sasa unaposema kapeleka billion na kunywa kikombe unataka tuamini alihonga kikombe kwa billion.tunatambua gharama za kikombe kwa huyo mganga ilikuwa shs 500/-!
 
Back
Top Bottom