Magufuli aliwagomea JK na Pinda naomba na Tena awaonyeshe Hakuna wa kumzuia

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
kwenye kampeni ya bomoa bomoa watu waliovamia barabara licha ya kukatazwa na pinda na JK yeye alibomoa na kuacha haibu kubwa kwa JK na Pinda . sasa sakata la nauli za kigamboni lipo kwa pinda nadhani atampelekea taarifa na JK , Magufuli tambua pinda na JK ni wasanii tuonyeshe makucha yako jinsi unavyowadharau pinda na JK ili wajue wao ni vilaza.

sakata la kigamboni ni mgogoro kati ya pinda na magufuli kwani pinda alisema nauli azijapanda na magufuli amesema zimepanda na hakuna wa kuzishusha. je nani zaidi
 
Acha wararuane wenyewe mura, tumechoka viongozi wanaopenda kutukuzwa bila kuhurumia watu wanaowaongoza. Sasa kweli viongozi wote hao pamoja na uzoefu wao wanashindwa kuelewana kwenye jambo dogo kama hilo? Uvivu mwingine wa kishamba sana kwa viongozi wetu. Kiongozi ni kuwa na msimamo!!
 
Back
Top Bottom